Kwa 1st August Simba anapigwa nje ndani

Algore

JF-Expert Member
Apr 26, 2020
2,094
3,360
Enyi Makolo, nataka niwaambie mapema kabisaa kwamba kwa hawa wababe wa Angola, 1 August mnaenda kuchezea kichapo cha mbwa mwizi cha 6:0 na mkirudi kwa Mkapa ni 0:4!

Nafikiri nimeeleweka.
 
Sundown wenyewe kwa 1 August walikaa itakua makolo? Huu mwaka miti yote itateleza: Afsc na nbc uto wanabeba tena.
Bora Mo aanzishe timu ya mpira wa pete
 
Kweli kila mtu na hobby yake. Kina sisi tusiojua mpira nikajua jamaa kachapia tarehe kuongelea mwezi wa 8, nimeufungua uzi fasta kwa nia ya kukosoa, kumbe hiyo 1st August ni jina la timu.
Anyways watajuana wenyewe hata wakifungana goli 100.
 

Attachments

  • Screenshot_20221005-072755.png
    Screenshot_20221005-072755.png
    33.2 KB · Views: 3
Back
Top Bottom