mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 23,390
- 75,805
Au sio Abdul Jafar wa Mchambawima?Afu we mjinga weee nani Mpemba ?
Au sio Abdul Jafar wa Mchambawima?Afu we mjinga weee nani Mpemba ?
Mie nimezama kwako mkuu, sijui nachomokaje.Ni wapi huko tena
Nasikia chumvi inachimbwa kwa wingi uvinza
Kumbe kuna kuna kuzama pia?
Kama hiyo hali haijaanza kumkera muhusika mwenyewe ni ngumu ku-move on.Ndio upo sahihi
Sasa ku move on kwenda mbali na mazingira ya vishawishi hapo ndio kasheshe huanzia
Pole na hongera sanaMie nimezama kwako mkuu, sijui nachomokaje.
Muandiko wako tu umenipagawisha nasinzia nikikuwaza.
Thank you 😊Kama hiyo hali haijaanza kumkera muhusika mwenyewe ni ngumu ku-move on.
Na njia za kuondokana na hali kama hizo huwa ni kwa kuanza mdogo mdogo, hauwezi ku move on mbali na mazingira ya vishawishi ghafla, hilo haliwezekani lazima utarudi kule kule, lakini ukianza kwa kuyafahamu mazingira halisi ya vishawishi then ukaamua kwa dhati, naamini kila kitu kina wezekana, ni suala la kujua namna ya kuya-control mawazo yako tu.
Je inawezekana kuzama k⁸wenye juice ama uji?KUZAMA SIYO KWENYE MAJI TU
Tunaposema mtu amezama, mara nyingi tunafikiria amezama kwenye mto au bahari
Lakini katika maisha, kuna kuzama kwa aina nyingi
Wengine husema, Nimezama kwenye penzi
Lakini pia kuna watu waliozama kwenye maovu na tabia ambazo zinawatesa kila siku
Kuna kuzama kwenye kamari
Kuna kuzama kwenye pombe
Kuna kuzama kwenye dawa za kulevya
Kuna kuzama kwenye rushwa
Kuna kuzama kwenye uzinzi au umalaya
Kuna kuzama kwenye marafiki wabaya
Kuna kuzama kwenye madeni, uongo, au hata tamaa ya pesa za haraka
Kinachoumiza zaidi ni kwamba wengi wanaozama huko si kwamba hawajui
Wanajitambua kabisa
Wanajua wanachokifanya si sahihi Wanajua wanapoteza muda, kipato, familia, afya na heshima
Lakini wanashindwa kujinasua
Ni kama mtu anayezama majini Anaona kila kitu, anapambana kwa nguvu zote, lakini kadiri anavyojitahidi ndivyo anavyozidi kuzama 😔
Anatamani kutoka, lakini haoni njia 😟
Ninaamini sababu mojawapo inayowafanya watu washindwe kuacha tabia mbaya ni mazingira wanayoishi
Ni vigumu kuacha pombe ukiwa kila siku upo kwenye vijiwe vya pombe
Ni vigumu kuacha kamari ukiwa umezungukwa na marafiki wanaokushawishi kucheza kila siku
(Wadau wa betting wanaelewa)
Wakati mwingine mazingira humshinda hata mtu mwenye nia ya kubadilika 💯
Lakini je, mazingira ndiyo sababu pekee?
Au kuna mambo mengine kama , kuiga, marafiki, msongo wa mawazo, au kukata tamaa, kujilinganisha , sifa na kutokukinahi?
Karibuuunii wana JF
Je, umewahi kuzama kwenye tabia fulani ukashindwa kutoka, ingawa ulitamani kuiacha?
Ni kitu gani kilikufanya ushindwe kujinasua?
Kama uliweza kuacha, ni mbinu gani ilikusaidia?
- Umewahi kumsaidia mtu kuacha tabia mbaya?
Je ukifanyaje🤔
Ukiweka comment hapa anaweza akapona mtu hata kama asiposema karibuuni guys
Chombezo : umewasha mshumaa au kibatari?
ShesRise_1🤚
😅😅😅 we unaonajeJe inawezekana kuzama k⁸wenye juice ama uji?
Inawezekana😅😅😅 we unaonaje
SawaInawezekana
Heh aisee kazi kweli kweliKuzama ni chumvini tu hivyo vingine ni viberenge fwata upepo.
Na ukute bumunda limetuna limeloa kichwa unaweza kuacha mle ndani ya Papa.
Unaogopa kufua 😁😁 imagine uzame kwenye tope mvua imenyesha lol aibuuNipo tayari kuzama kokote ila siyo mitaroni au kwenye matope.
Ni changamoto kwakweli, mimi staki kwakweli kinachonishangaza ni kwamba kuna watu wanataka kuzama kwenye matope! Wakati mimi hata kusogelea hayo madimbwi yenye matope naogopa 🙌.Unaogopa kufua 😁😁 imagine uzame kwenye tope mvua imenyesha lol aibuu
Unaandika kwa kuuma uma maneno, kwa kupindisha pindiiiisha!KUZAMA SIYO KWENYE MAJI TU
Tunaposema mtu amezama, mara nyingi tunafikiria amezama kwenye mto au bahari
Lakini katika maisha, kuna kuzama kwa aina nyingi
Wengine husema, Nimezama kwenye penzi
Lakini pia kuna watu waliozama kwenye maovu na tabia ambazo zinawatesa kila siku
Kuna kuzama kwenye kamari
Kuna kuzama kwenye pombe
Kuna kuzama kwenye dawa za kulevya
Kuna kuzama kwenye rushwa
Kuna kuzama kwenye uzinzi au umalaya
Kuna kuzama kwenye marafiki wabaya
Kuna kuzama kwenye madeni, uongo, au hata tamaa ya pesa za haraka
Kinachoumiza zaidi ni kwamba wengi wanaozama huko si kwamba hawajui
Wanajitambua kabisa
Wanajua wanachokifanya si sahihi Wanajua wanapoteza muda, kipato, familia, afya na heshima
Lakini wanashindwa kujinasua
Ni kama mtu anayezama majini Anaona kila kitu, anapambana kwa nguvu zote, lakini kadiri anavyojitahidi ndivyo anavyozidi kuzama 😔
Anatamani kutoka, lakini haoni njia 😟
Ninaamini sababu mojawapo inayowafanya watu washindwe kuacha tabia mbaya ni mazingira wanayoishi
Ni vigumu kuacha pombe ukiwa kila siku upo kwenye vijiwe vya pombe
Ni vigumu kuacha kamari ukiwa umezungukwa na marafiki wanaokushawishi kucheza kila siku
(Wadau wa betting wanaelewa)
Wakati mwingine mazingira humshinda hata mtu mwenye nia ya kubadilika 💯
Lakini je, mazingira ndiyo sababu pekee?
Au kuna mambo mengine kama , kuiga, marafiki, msongo wa mawazo, au kukata tamaa, kujilinganisha , sifa na kutokukinahi?
Karibuuunii wana JF
Je, umewahi kuzama kwenye tabia fulani ukashindwa kutoka, ingawa ulitamani kuiacha?
Ni kitu gani kilikufanya ushindwe kujinasua?
Kama uliweza kuacha, ni mbinu gani ilikusaidia?
- Umewahi kumsaidia mtu kuacha tabia mbaya?
Je ukifanyaje🤔
Ukiweka comment hapa anaweza akapona mtu hata kama asiposema karibuuni guys
Chombezo : umewasha mshumaa au kibatari?
ShesRise_1🤚
Hongera mkuu watu wastaarabu wote duniani huogopa kusogelea au kujihusisha na uchafuNi changamoto kwakweli, mimi staki kwakweli kinachonishangaza ni kwamba kuna watu wanataka kuzama kwenye matope! Wakati mimi hata kusogelea hayo madimbwi yenye matope naogopa 🙌.
Jamani 🤣Unaandika kwa kuuma uma maneno, kwa kupindisha pindiiiisha!
Ni huzuni 🤣🤣Pale mkoa wa Kigoma, kwenye Wilaya ya uvinza kuna machimbo ya chumvi.
Sijui pakoje pale, watu wakienda kuchimba chumvi kienyeji bila zindiko, wengi husahau kurudia makwao.
Huko ni kuzama kwa kujitakiaJe 'kupotelea' sehemu kipumbaf pumbaf, siyo kuzamia huko?
Sa'angeeleza yote hayo kwa ufasaha.Jamani 🤣
Ni huzuni 🤣🤣
Huko ni kuzama kwa kujitakia