ShesRise_1
JF-Expert Member
- Aug 21, 2025
- 17,264
- 40,901
- Thread starter
- #21
Ndio upo sahihiNimekuelewa sana, nadhani maana yako ni kwamba mtu hawezi kutarajia matokeo mapya akiwa amekaa kwenye mazingira yale yale yanayotengeneza tatizo lile lile.
Labda mfano tutolee waraibu wa matumizi ya madawa ya kulevya, au vijana walio athirika na punyeto right?
Sasa ku move on kwenda mbali na mazingira ya vishawishi hapo ndio kasheshe huanzia