Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 77,080
- 165,195
Hivi ni wapi mnapata authority za kupangia watu maisha? Yani kufanya uzinzi kabla ya ndoa siyo Zambi ila kuzaa kabla ya ndoa ndio Zambi! Ujinga huu.
Na atoke mtu akamyoshee kidole Klyn kwa kuzaa nje ya ndoa wakati ndoa zenu njaa tupu, miaka 10 ya hujahi hata kwenda vacation angalau mikumi achilia vacation za Nassau anazokwenda Klyn.
kibongo bongo kawaida tu, mtu akibeba mimba kabla ya ndoa full mapicha picha hadi home anatimuliwa, ila akijifungua kila mtu anamtaka mtoto hata wazazi waliosusa utasikia "mlete mjukuu wangu' mjukuu my a%$$%%$