Princess Somali
Senior Member
- Jan 10, 2014
- 182
- 66
Who are you to judge.....fanya yako
Lol who are you usiambiwe ukweli?? Deal with it
Who are you to judge.....fanya yako
You don't hava moral authority kusema hivyo shwaini wewe
Hahahaaaaaaaa! Mie halinihusu hili la leo, NATUMIA NYOTA YA BLUE!!!!!!! Mpaka washaanza kunihisi MGUMBA!!!!!!! Kumbe muoa wa majukumu na kuingia labor kirejareja!
Ila bora ujitoe COPY mapemaaa maisha yenyewe mafupi haya!
ILA MWANAUME UNAVOINIZA BILA NDOM NA HUNA VASECTOMY UNATEGEMEA NINI???????????
Lol who are you usiambiwe ukweli?? Deal with it
We kama umezaa nje ya ndoa, kitulize usituletee stress zako za maisha hapa
You wouldn't know stress hata ukiziona woman
Mimi ndio nazalisha nje ya the so called "ndoa" whatchu gonna do about it?
Again...... get a life
Usintaftie Ban wewe!!
I pity you
Hoja yako ni kuzaa baada ya ndoa au kujuana kwanza? Note, waliomo kwenye ndoa wengi "wanalia" pia!Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.
kUUZIWA MBUZI KWENYE GUNIA NOMA UNAMCHUKUA MWANAMKE UNAOA MIAKA MITATU UNAGEGEDA HAKUNA MIMBA WALA KUTOKA KWA MIMBA NA NDO UMEOA THEN MKISTO UTAJUTA SO BORA KUZAA AU MIMBA BEFORE NINA JAMAA YANGU KAOA MWAKA WA TATU SASA HAKUNA KITU NA ALINICHEKA SANA NA KUNIITA MDHAMBI HUOGOPI MOTO OOO MAMBO KIBAO ILA SASA ANANIONA NILIFANYA LA MAANA
sio kila anayebeba mimba anapenda wengine hutokea bahati mbaya, kwa hiyo mnataka wawe wanatoa?
Ni ulimbukeni tu sio tu kwa wanawake bali hata hao wanaume wenye kusababisha hivyo...
angelita;
Mbona huo ni utetezi wa kale saana tu. Hiyo bahati nzuri ilipitia wapi mpaka upate hiyo mimba? Kuzaa bila mpango ni utaahira wala sio ulimbukeni.
Mpaka uivue pichu yako, upande kitandani, aje kulee humwulizi hata soksi iko wapi, we kweli hamnazo. Unasema Bahati mbaya.
We kama umezaa nje ya ndoa, kitulize usituletee stress zako za maisha hapa
Unaweza kuwa hujazaa nje ya ndoa lakini umetoa mimba nne nje ya ndoa kwahiyo wee ni balaa zaidi kuliko aliyezaa nje ya ndoa
Siku hizi imekuwa kama fasheni wanawake kuzaa bila ndoa ili mradi tu mmekutana na mpenzi wako kimjini mjini tu hata kwao hupajui unambebea mimba huo ni ushamba na ulimbukeni,chunguzeni hata watu wa kuzaa nao mimi nahisi wanawake wa sasa hivi mmerogwa.