Hahahaaaaaaaa! Mie halinihusu hili la leo, NATUMIA NYOTA YA BLUE!!!!!!! Mpaka washaanza kunihisi MGUMBA!!!!!!! Kumbe muoa wa majukumu na kuingia labor kirejareja!
Ila bora ujitoe COPY mapemaaa maisha yenyewe mafupi haya!
ILA MWANAUME UNAVOINIZA BILA NDOM NA HUNA VASECTOMY UNATEGEMEA NINI???????????
....Tatizo sio kuzaa nje ya ndoa, tena ndoa zenyewe za siku hizi majanga tupu!! Divorce imekuwa
Jambo la kawaida. Maana ya ndoa hakuna tena.
Mimi nadhani unapotaka kuzaa, make sure utaweza kulea huyo mtoto/watoto.
Siyo ulete kiumbe duniani halafu ukipe shida.
Ila ni vizuri watoto kulelewa na baba na mama kwa pamoja.
I won't waste my energy
Bottom line is we as human beings have a set of morals we have to follow,
Hata kama huna dini basi Hata Mila la kabila lako zinasemaje??
Ulimbukeni unajua circumstances zilizosababisha
Busy kujudge tu as if you are perfect
Hata Calendar na Condom ni miongoni mwa hizo njia za nyota. Pamoja na hayo madawa unayoyasemanjia hizo za nyota huwa zinamadhara makubwa zinaweza kukuletea kans,, kwanini usitumie kondom au kuangalia tarehe tu zile ambazo ni hatari unaacha kugegedwa au unatumia zana. Acheni kutumia madawa nnyi warembo
Umenigusahata wasio kwenye ndoa wana haki ya kupata watoto,
....Tatizo sio kuzaa nje ya ndoa, tena ndoa zenyewe za siku hizi majanga tupu!! Divorce imekuwa
Jambo la kawaida. Maana ya ndoa hakuna tena.
Mimi nadhani unapotaka kuzaa, make sure utaweza kulea huyo mtoto/watoto.
Siyo ulete kiumbe duniani halafu ukipe shida.
Ila ni vizuri watoto kulelewa na baba na mama kwa pamoja.
me nadhani kikubwa hapa sio kuzaa nje ya ndoa manake ndoa ni utaratibu tu uliowekwa,muhimi ni mtoto au watoto wanaozaliwa wanapata malezi yanayostahili,labda kibaya ni pale wanapobeba mimba alafu wanaachana na mtoto kulelewa na mzazi mmoja,wazazi wetu wa zamani wengi walizaa bila ndoa
Unaweza kuwa hujazaa nje ya ndoa lakini umetoa mimba nne nje ya ndoa kwahiyo wee ni balaa zaidi kuliko aliyezaa nje ya ndoa
hizo mimba wanajipa wenyewe au? hao wanaowapa mimba sio malimbukeni?
halafu si kula mtu anataka ndoa. wengine wanazaa na kulea watoto wao.
hata wasio kwenye ndoa wana haki ya kupata watoto, ni utaratibu wa maisha tu ambapo kila mmoja ana utaratibu wake as long as havunji sheria
Hata Calendar na Condom ni miongoni mwa hizo njia za nyota. Pamoja na hayo madawa unayoyasema