Hawa jamaa wamejitambulisha kuwa wana kampuni ya uchimbaji mabwawa na wamepata tenda ya kuchimba mabwawa kwa ajili ya maji ya kunywa wanyama katika mbuga zetu hapa tanzania.wanadai ujuzi wa uchimbaji mabwawa waliusomea ujerumani. wanadai wakati wapo ujerumani waliongea na mjerumani mmoja ambaye ni mtaalam wa madawa ya kusafisha maji. wakadai zaidi kuwa waliongea na huyo mjerumani kuwa, mara watakapomaliza maliza kozi hiyo mjerumani huyo aliwaahidi kuwa angeweza kusupply hayo madawa ya kusafisha maji kwa bei ya dola 4900 kwa ujazo walinitajia nimesahau.wakaniambia kuwa madawa hayohayo yanaweza patikana katika kiwanda kimoja hapahapa tz kwa dola 4100. hivyo wameniambia nifikirie kama nina uwezo wa kusupply hayo madawa na baadae niwasiliane nao. naomba ushauri wandugu nisije kupiga penalti ikageuka kuwa kona.
usithubutu, hata kaka yangu walimdanganya hivyo hivyo.
Matapeli wakubwa hao,wanakudanganya uyanunue hayo madawa kisha utakosa pakuyapeleka and by the end of the day wanakula kona kumbe utakua umeyanunua kwenye maduka yao kwa bei kubwa x2 ya real price,so take care mkuu!Hawa jamaa wamejitambulisha kuwa wana kampuni ya uchimbaji mabwawa na wamepata tenda ya kuchimba mabwawa kwa ajili ya maji ya kunywa wanyama katika mbuga zetu hapa tanzania.wanadai ujuzi wa uchimbaji mabwawa waliusomea ujerumani. wanadai wakati wapo ujerumani waliongea na mjerumani mmoja ambaye ni mtaalam wa madawa ya kusafisha maji. wakadai zaidi kuwa waliongea na huyo mjerumani kuwa, mara watakapomaliza maliza kozi hiyo mjerumani huyo aliwaahidi kuwa angeweza kusupply hayo madawa ya kusafisha maji kwa bei ya dola 4900 kwa ujazo walinitajia nimesahau.wakaniambia kuwa madawa hayohayo yanaweza patikana katika kiwanda kimoja hapahapa tz kwa dola 4100. hivyo wameniambia nifikirie kama nina uwezo wa kusupply hayo madawa na baadae niwasiliane nao. naomba ushauri wandugu nisije kupiga penalti ikageuka kuwa kona.
Lakini mkuu, kama ni issue ya kufanya business kuna utaratibu na naamini wewe ni mtu unayejua taratibu za biashara, make a legal contract before doing anything.
Hawa jamaa wamejitambulisha kuwa wana kampuni ya uchimbaji mabwawa na wamepata tenda ya kuchimba mabwawa kwa ajili ya maji ya kunywa wanyama katika mbuga zetu hapa tanzania.wanadai ujuzi wa uchimbaji mabwawa waliusomea ujerumani. wanadai wakati wapo ujerumani waliongea na mjerumani mmoja ambaye ni mtaalam wa madawa ya kusafisha maji. wakadai zaidi kuwa waliongea na huyo mjerumani kuwa, mara watakapomaliza maliza kozi hiyo mjerumani huyo aliwaahidi kuwa angeweza kusupply hayo madawa ya kusafisha maji kwa bei ya dola 4900 kwa ujazo walinitajia nimesahau.wakaniambia kuwa madawa hayohayo yanaweza patikana katika kiwanda kimoja hapahapa tz kwa dola 4100. hivyo wameniambia nifikirie kama nina uwezo wa kusupply hayo madawa na baadae niwasiliane nao. naomba ushauri wandugu nisije kupiga penalti ikageuka kuwa kona.
Matapeli hao .Hawa jamaa wamejitambulisha kuwa wana kampuni ya uchimbaji mabwawa na wamepata tenda ya kuchimba mabwawa kwa ajili ya maji ya kunywa wanyama katika mbuga zetu hapa tanzania.wanadai ujuzi wa uchimbaji mabwawa waliusomea ujerumani. wanadai wakati wapo ujerumani waliongea na mjerumani mmoja ambaye ni mtaalam wa madawa ya kusafisha maji. wakadai zaidi kuwa waliongea na huyo mjerumani kuwa, mara watakapomaliza maliza kozi hiyo mjerumani huyo aliwaahidi kuwa angeweza kusupply hayo madawa ya kusafisha maji kwa bei ya dola 4900 kwa ujazo walinitajia nimesahau.wakaniambia kuwa madawa hayohayo yanaweza patikana katika kiwanda kimoja hapahapa tz kwa dola 4100. hivyo wameniambia nifikirie kama nina uwezo wa kusupply hayo madawa na baadae niwasiliane nao. naomba ushauri wandugu nisije kupiga penalti ikageuka kuwa kona.
Mkuu siyo jambo la busara kuileta hii taarifa hapa publick!nafikiri ulitakiwa kufanyia kazi hilo jambo na kupata ufumbuzi,matapeli wamejaa kila kona lakini haituzuii kufanya au kufatilia kwa kutumia uwezo wetu tulio nao na msaada wa watu walio karibu na sisi,tusikurupuke kwa mambo kama haya,kutulia ni jambo la muhimu sana bana,ningekuwa wewe ningelifanyia kazi kama nashindwa ningetafuta watu walio karibu na mimi wanisaidie,tujifunze kutulia,kumbuka kila siku hapa wakenya wanasema sisi bado sana,ni kwenye mambo kama hayo!!maybe wewe sio mfanya biashara!