Kuweni makini na miilio ya kwenye simu mabinti | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuweni makini na miilio ya kwenye simu mabinti

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Pdidy, Sep 21, 2012.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Sep 21, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,403
  Likes Received: 5,678
  Trophy Points: 280
  Unakua simu ukipiga inasema
  nibebeeeeee nibebeeeeeeeeeee nibeeee nibebeeeeeeeeeeeeeee nibembeleezeeee nibebeeeeeeeee
  ssaasaa we bwanaharusi wenzako wakikubebea mzigo sijui nani mwenye matatizo jamani
  ndio maana wezi wa mwenge wakisikia nyimbo kama hizo wanakubebeaa bila shaka
   
 2. Mahmetkid

  Mahmetkid JF-Expert Member

  #2
  Sep 21, 2012
  Joined: Apr 20, 2012
  Messages: 557
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 45
  Wezi wa MWENGE, imekaa bombaaaaaaaa.
   
 3. p

  pretty n JF-Expert Member

  #3
  Sep 21, 2012
  Joined: Aug 21, 2012
  Messages: 299
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Wanaume huwa hamuibiwi kwani?
   
Loading...