Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

Kuweni makini na matumizi ya ATM; kuna wataalam wa kuiba na hutopata sms na notification

Kwani ukiweka ATM juu ya mashine ndio inakuaje na ukichomeka ndani inakuaje? hapo wizi unazuiaje?
 
Wakuu ,

Kumeibuka wizi wa kupitia ATM.

Hasa ile benki flani hivi.

Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS.

Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
Kwani ukiitaja hiyo benk watakufunga?
 
Wakuu ,

Kumeibuka wizi wa kupitia ATM.

Hasa ile benki flani hivi.

Jamaa wanaiba in such a way hutopata notification SMS.

Msitumie ile njia ya kuweka ATM card juu ya mashine
Nakumbuka benki niliyokuwa natumia majuu. Ukitaka unaingia kwenye account yako ya netbank, una-set kuwa kadi isitumike kwenye ATM.Ukitaka kutoa fedha, unaingia kwenye account, una-set kiwango cha kutoa, ukishatoa unarudisha tena kadi isitoe fedha. Ni feature nzuri sana ya security kama mtu atachukuwa kadi yako au ku-forge. Pia unaweza kuweka matumizi kwa siku yasizidi kiasi fulani, au utoaji usizidi kiasi fulani.
 
Hapo sasa ndo tunapata taarifa gani?
 
Ahsante kwa taarifa...

Cc: Mahondaw
Dogo ukiambiwa uchague kati ya Mahondaw na huyo demu mwenye matako mieusi na usd million moja juu ni yupi utachagua?

Screenshot_20260129_210457_Facebook.jpg
 
Umetutisha mkuu!
Maana kwenye chumba cha ATM kuna CCTV kwa juu,sasa sijui ukiweka Kadi wanasoma Account no.na Nywila.
Vinginevyo ni kutumia Sim banking.
 
Umetutisha mkuu!
Maana kwenye chumba cha ATM kuna CCTV kwa juu,sasa sijui ukiweka Kadi wanasoma Account no.na Nywila.
Vinginevyo ni kutumia Sim banking.
Hiyo simbanking nayo mbona naskia kuna baadhi ya mawakala nao wanafanya uhuni wanatoa hela mara 2?
 
Back
Top Bottom