15yrs kwene ndoa ingekuwa nikutokea ningelikuwa nishakumbana nayo tena sana lakn hadi leo hii sina mda ilimradi nkataka mbususu akanipa tena yote tukaridhika wote ya nin nimchunge ndugu yangu.Hahaha, inachekesha ila Sasa akimtafuta mkeo kwa mfumo tofauti akampata akamuongezea pesa mkeo atakuambia kweli?
Maana wanawake si wa kucheza nao michezo ya kuwalengesha kwa wanaume hata kama ni kuwatapeli, linaweza tokea jambo ukashindwa kueleza kwa jamii kwanini unataka kuachana na mkeo ukabaki tu kusema mimi simtaki.