Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
za mpira haziaminiki leo inafanya kazi, kesho haifanyi.sawa mkuu ila kama utaweza fanya mpango wa kutuwekea file jingine lele channel za nyumbani na za nje na za mpira
za mpira haziaminiki leo inafanya kazi, kesho haifanyi.sawa mkuu ila kama utaweza fanya mpango wa kutuwekea file jingine lele channel za nyumbani na za nje na za mpira
kuna kipindi flani nilikuwa natumia kodi japo si kwa inshu hii ya iptv, hasa kwenye mipira lakini nililazimika kuiondoa kwa sababu ya scratching nying mno hadi nikapata msaada wa sportzone, je, kwa inshu hii unayoisemema hapa naweza kutumia doftware gani nyingine?uamuzi wako tu,
-ukiclick tu hizo link na browser zitaplay
-unaweza tumia vlc zitaplay pia
-unaweza tumia kodi zitaplay
-unaweza tumia software mbali mbali za iptv.
kwa vlc bonyeza juu kushoto chagua network stream then paste link husika. au download hio playlist then ifungue na vlc.
mkuu nimetafuta software mbalimbali za iptv naziona nyingi ila sina idea hata mojwapo na namna zinavyorun, naomba nisaidie angalau moja iliyo vizuri.uamuzi wako tu,
-ukiclick tu hizo link na browser zitaplay
-unaweza tumia vlc zitaplay pia
-unaweza tumia kodi zitaplay
-unaweza tumia software mbali mbali za iptv.
kwa vlc bonyeza juu kushoto chagua network stream then paste link husika. au download hio playlist then ifungue na vlc.
Mkuu msaada wa channel inayoonesha WWE live isiwe recorded yaani kama supersport 9 wanavyooneshaza mpira haziaminiki leo inafanya kazi, kesho haifanyi.
mkuu hata hio kodi uliokuwa unaangalia na kuscratch ni iptv pia. iptv inamaanisha tu internet protocal television au kwa lugha rahisi kuangalia tv kwa kutumia bundle lako la internet.mkuu nimetafuta software mbalimbali za iptv naziona nyingi ila sina idea hata mojwapo na namna zinavyorun, naomba nisaidie angalau moja iliyo vizuri.
NB: SINA IDEA YOYOTE NA HII IPTV, HIVYO NAOMBA USICHOKE KUNISAIDIA MKUU
unaifahamu app ya mobdro? wana chanell nyingi.Mkuu msaada wa channel inayoonesha WWE live isiwe recorded yaani kama supersport 9 wanavyoonesha
Mkwawa samahani bro! Me naomba tu uniasaidie IPTV file ya kuangalia channels adimu kama Clouds TV, StarTV Channel 10 nk....unaifahamu app ya mobdro? wana chanell nyingi.
pitia hii link
List of Current WWE programs
hio ni list ya chanell inayoonyesha wwe live.
mfano kwa marekani ni usa network
unaenda mobdro unaisearch hio chanell. nimeisearch mimi ipo, unasubiria muda wa pambano unaangalia.
Shukrani Chief kwa msaada wako..unaifahamu app ya mobdro? wana chanell nyingi.
pitia hii link
List of Current WWE programs
hio ni list ya chanell inayoonyesha wwe live.
mfano kwa marekani ni usa network
unaenda mobdro unaisearch hio chanell. nimeisearch mimi ipo, unasubiria muda wa pambano unaangalia.
asante sana Chief, ngoja nianze kufatilia then nitakupa feedback, Be blessed for sharing your knowledge mkuu...!!!!mkuu hata hio kodi uliokuwa unaangalia na kuscratch ni iptv pia. iptv inamaanisha tu internet protocal television au kwa lugha rahisi kuangalia tv kwa kutumia bundle lako la internet.
kuangalia tv kwa internet ili isikusumbue ionyeshe vizuri bila kunata nata unahitaji mambo matatu.
1. server ya uhakika ambayo hizo tv zime hostiwa
2. internet yenye speed ya uhakika kulingana na quality unayoplay
3. internet iwe na ping ndogo.
kwa uzoefu wangu internet nzuri ya kuangalizia tv online ni vodacom 3g na 4g, halotel 3g na tigo, smart, ttcl na smile 4g. 4g zote zina ping ndogo na 3g ya voda na halotel zinajitahidi.
nenda playstore download app inaitwa speedtest kisha pima speed yako. angalia mtandao unaokupa ping chini ya 50ms huo utafaa kustream na download speed angalau mbps kadhaa. ukifanikisha hapa utakuwa umesolve point ya pili na tatu kwenye list hapo juu
point ya kwanza huwezi kusolve wewe bali mhusika mwenye hizo tv alieziweka online. tumia chanell zetu za kitanzania itv na azam tv kama standard, nyingi ukiwa na internet nzuri hazita scratch hivyo zikiwa hazi scratch na unakutana na tv nyengine inascratch inamaana hio tv nyengine itakuwa kwenye server mbovu na sio internet yako.
kwakua ndio unaanza, test hizo za kitanzania kwenye vlc, copy hizo url kisha kwenye vlc click file halafu chagua network stream kisha paste hio url na play (kwa pc). vlc ya simu au mx player pia zina uwezo wa kustream hizo url.
mkuu nimelidownload file hili la playlist ila nakwama namna ya kulifungua kwa vlc japo nafuata hatua karibu zote ila nakwamauamuzi wako tu,
-ukiclick tu hizo link na browser zitaplay
-unaweza tumia vlc zitaplay pia
-unaweza tumia kodi zitaplay
-unaweza tumia software mbali mbali za iptv.
kwa vlc bonyeza juu kushoto chagua network stream then paste link husika. au download hio playlist then ifungue na vlc.
achana na playlist kwanza eka link moja moja ambazo zipo page ya kwanza.mkuu nimelidownload file hili la playlist ila nakwama namna ya kulifungua kwa vlc japo nafuata hatua karibu zote ila nakwama
clouds na etv wana app yao inaitwa afrobox, chanel 10, star tv na Tbc nafkiri wapo kwenye app ya TTCL, sababu ni za kulipia hizo za TTCL tuachane nazo. labda tufanye mpango wa hio clouds.Mkwawa samahani bro! Me naomba tu uniasaidie IPTV file ya kuangalia channels adimu kama Clouds TV, StarTV Channel 10 nk....
thanx chief nimefanikiwa ila ni itv peke yake na niliporudi link ya kwanza nikaziona za azam, dah ubarikiwe sana sana kiongozi wangu...!!!achana na playlist kwanza eka link moja moja ambazo zipo page ya kwanza.
mkuu hizi nimejaribu kama tatu hivi za mpira hazionyeshi..!!!uk za pili
[HASHTAG]#EXTM3U[/HASHTAG]
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Eden
http://93.158.220.153:1300/play/a01c
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,alibi
http://93.158.220.153:1300/play/a01g
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Good Food
http://93.158.220.153:1300/play/a01e
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV HITS
http://93.158.220.153:1300/play/a01x
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Channel 4
http://93.158.220.153:1300/play/a01o
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Magic
http://93.158.220.153:1300/play/a01h
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,7000
http://93.158.220.153:1300/play/a01s
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,GOLD
http://93.158.220.153:1300/play/a01d
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,KISS
http://93.158.220.153:1300/play/a01j
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Dave
http://93.158.220.153:1300/play/a017
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV DANCE
http://93.158.220.153:1300/play/a023
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,55251
http://93.158.220.153:1300/play/a010
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,horror channel
http://93.158.220.153:1300/play/a00n
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,50342
http://93.158.220.153:1300/play/a013
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,E4+1
http://93.158.220.153:1300/play/a01q
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,S4C
http://93.158.220.153:1300/play/a00u
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,BT Sport 1
http://93.158.220.153:1300/play/a00z
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Box Hits
http://93.158.220.153:1300/play/a01l
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,BT Sport 3
http://93.158.220.153:1300/play/a012
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,CBS Reality
http://93.158.220.153:1300/play/a00q
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Kerrang!
http://93.158.220.153:1300/play/a01k
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,BT Sport 1 SD
http://93.158.220.153:1300/play/a026
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV ROCKS
http://93.158.220.153:1300/play/a01v
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Drama
http://93.158.220.153:1300/play/a01a
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,YESTERDAY
http://93.158.220.153:1300/play/a016
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,W
http://93.158.220.153:1300/play/a01f
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,VIVA
http://93.158.220.153:1300/play/a024
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,VH1
http://93.158.220.153:1300/play/a01u
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,The Box
http://93.158.220.153:1300/play/a01i
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,BT Sport 3
http://93.158.220.153:1300/play/a00x
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,50368
http://93.158.220.153:1300/play/a011
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,CBS Action
http://93.158.220.153:1300/play/a00p
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,CBS Drama
http://93.158.220.153:1300/play/a00m
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV MUSIC
http://93.158.220.153:1300/play/a021
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV
http://93.158.220.153:1300/play/a020
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Home
http://93.158.220.153:1300/play/a015
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Really
http://93.158.220.153:1300/play/a01b
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Box Upfront
http://93.158.220.153:1300/play/a01m
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,More4
http://93.158.220.153:1300/play/a01n
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV CLASSIC
http://93.158.220.153:1300/play/a01z
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,Channel 4 +1
http://93.158.220.153:1300/play/a01p
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,MTV BASE
http://93.158.220.153:1300/play/a01y
[HASHTAG]#EXTINF[/HASHTAG]:-1,E4
http://93.158.220.153:1300/play/a01r
Poa poa mkuu...clouds na etv wana app yao inaitwa afrobox, chanel 10, star tv na Tbc nafkiri wapo kwenye app ya TTCL, sababu ni za kulipia hizo za TTCL tuachane nazo. labda tufanye mpango wa hio clouds.
zitakuwa zishakufa ni za mda hizo, tabu ya tv za kulipia ndio hio huwezi ukakaa na link siku nyingimkuu hizi nimejaribu kama tatu hivi za mpira hazionyeshi..!!!
Dah shukrani mkuu kwa kutumegemea maarifa....!!!zitakuwa zishakufa ni za mda hizo, tabu ya tv za kulipia ndio hio huwezi ukakaa na link siku nyingi
Chief samahani hizi channel za azam nikiziangalia zinakuwa na kivuli sana hata nimejaribu kuangalia mpira wa simba na lipuli zimekuwa na gizagiza kidogo, shida inaweza ikawa wapi?zitakuwa zishakufa ni za mda hizo, tabu ya tv za kulipia ndio hio huwezi ukakaa na link siku nyingi
mkuu mbona hii app inaonekana inafanan na kodiKuna application inaitwa vavoo.tv ni nzuri sana na ina channels nyingi za sports