The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,110
- 115,899
Nnimewahi kusikia kuwa mwanamke akifikia umri fulani hasa above 35
huwa anajua moja kwa moja iwapo kuna mwanaume around mwenye kumtamani
au mwenye nia ya kumtongoza.......sijui ukweli wa hii kitu ukoje.....
nimekuwa najiuliza inawezekana mwanaume ukawa unamtamani mwanamke
ambae unakutana nae kwenye shughuli zako bila yeye kujua kabisa?
ni kweli kuwa wanawake ndo best kwenye kusoma body language kuliko wanaume?
wapo kweli wanaokutwa na mshangao wanapotokewa au ni uwongo????????/