Kuwajadili haisaidii

Kuwajadili haisaidii

Zero One Two

JF-Expert Member
Joined
Sep 16, 2007
Posts
9,346
Reaction score
3,033
Kuendelea kufungua, thread zinazo wahusu wachafuzi wa CC ni sawa na kuwapa vichwa na kujiona kama wana nguvu ya kusumbua na CC, dawa ni ndogo, ni ku asume tu kama hawapo hao watu bhaasii watasepa wenyewe.
 
Wewe umefanya nini?si umefungua hii kuwajadili?embu kaa kushoto
 
Kuendelea kufungua, thread zinazo wahusu wachafuzi wa CC ni sawa na kuwapa vichwa na kujiona kama wana nguvu ya kusumbua na CC, dawa ni ndogo, ni ku asume tu kama hawapo hao watu bhaasii watasepa wenyewe.

We nawe vp? Mbona umefungua thread ya kuwajadili? Pole sana kwa Ban. Try to behave. Ndani ya wiki 1 ID zako 2 zmepgwa ban..
 
Mh.. mbona povu??? May b hujamuelewa. Anamaanisha kuview thread zao na kucomment!
 
Kuendelea kufungua, thread zinazo wahusu wachafuzi wa CC ni sawa na kuwapa vichwa na kujiona kama wana nguvu ya kusumbua na CC, dawa ni ndogo, ni ku asume tu kama hawapo hao watu bhaasii watasepa wenyewe.
Naona kama hujaeleweka labda ufafanue unacholenga.
 
Na nyie kama mmeilewa kwanini mnajadili? Uwenda mwenzenu kaweka bandiko . Nyie mmeamu kuchangia
 
mmh...mpwa hebu ninong'oneze, maana habari kubwa hii!!

Back
Top Bottom