MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,596
Lakini Mkuu, ushuhuda wa nini? Wewe umelea mimba mpaka mtoto amezaliwa, ina maana siku zote ulikuwa na wasiwasi na mimba ya mtoto husika. Au unataka u-create fear situation kwa mkeo hasitoke nje ya ndoa?
Mkuu wakishakuwa viruka njia tayari wametoka kwenye boksi. Yaani ni viruka njiahii imani samtaimu ndio inaleta balaa ndani ya nyumba. kuna vile viruka njia vijike kwa vidume huwa vinafanya mambo yao na ukiviuliza vinajifanya kuja juu aaargh sasa hatuaminiani? muulizaji ukirudi matawi ya chini neksti day anaendeleza libeneke. hapo njomba utakuwa umekwisha!!!!! , zaifu yako imejulikana!!. kama jana alirudi nyumbani sunseti kesho anarudi sunraiz. lakini uskonde tupo washauri wa kujitolea hapa jf. likikutokezea hili balaa usisite kuliripoti hapa jukwaa la mahusiano.
Nimekuelewa ila Mambo kama haya ni Ngumu kueleweka, Unajua Ishu ya kupima DNA imekuja kua so popular now kwa sababu ya Asilimia kubwa (sina kumbukumbu vizuri) yaani more that 60% ya wababa waliopima DNA wamekuta kua watoto sio wao!! ndo maana mambo yamebadilika siku izi!! Mi sioni tatizo ni sawasawa tu na kupima Ukimwi yote ni kwa Heri tu wala sio shari!!Na ndio maana nikasema inakuwa vigumu kueleweka. Assume hakuna kuota wala kufanya sef service-
huu msemo uliexpaya longi taim. siku hizi kinazaa na kinajukuu haramuNafikiri ndio maana kukaletwa ule msemo wa kitanda hakizai haramu au?
Nadhani MTM anazungumzia kupima DNA kama mtu anavyopima vitu vingine bila kuhusisha hisia za kutokuwepo uaminifu.....yaani mnapima tu, hata kama hakuna mashaka!
Watu wengine wanatoa kopi zao wenyewe kiasi kwamba kupima DNA ni upotevu wa muda na hela!
Kuna mtu namfahamu alienda kwa mkemia mkuu kucheki vina7 (of coz baada ya mitafaruku mingi)......akaambiwa mtoto ni wa kwakwe..........
Jamaa hakuamini akaenda hadi Nairobi, akapata jibu lile lile, mtoto ni wake!
Guess what? Ikabidi ndoa ivunjike bila kupenda.
Na ukitrace ndoa zilizotoa watoto wa nje ya ndoa ndio zile zile zilizokosa imani baina ya mume na mke kwahiyo mmoja anaenda kupumzika na house girl mwingine na house boy lakini mzigo wa DNA unakuja kumdondokea aliyepumzika na house boy. Mungu ni mwema kwani amenihahidi mke kutoka katika nyama zangu.Nimekuelewa ila Mambo kama haya ni Ngumu kueleweka, Unajua Ishu ya kupima DNA imekuja kua so popular now kwa sababu ya Asilimia kubwa (sina kumbukumbu vizuri) yaani more that 60% ya wababa waliopima DNA wamekuta kua watoto sio wao!! ndo maana mambo yamebadilika siku izi!! Mi sioni tatizo ni sawasawa tu na kupima Ukimwi yote ni kwa Heri tu wala sio shari!!
Tatizo ni kwa akina dada wamechukulia DNA kama njia ya kuwaangalia kama wamecheat, ila hapo ndio sielewi
Bado naamini DNA ni muhimu
Sikushauri uache we endelea tu watasononeka sana mwl wako wa kwaya,mchungaji/padre na mpapasa kinanda(tena huyu nae anahitaji thread). Na pia jaribu kupima Afya yako na ni vizuri uje hapa muhimbili nita ku PM no. yangu ya simu wala hutakaa kwenye foleni kwa vile sio kosa lako.
Mama, kwani Viagra ilikuwa kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume??? si ilikuwa kwa ajili ya moyo? lakini si umeona faida ya viagra?
Nadhani MTM anazungumzia kupima DNA kama mtu anavyopima vitu vingine bila kuhusisha hisia za kutokuwepo uaminifu.....yaani mnapima tu, hata kama hakuna mashaka!
Watu wengine wanatoa kopi zao wenyewe kiasi kwamba kupima DNA ni upotevu wa muda na hela!
Kuna mtu namfahamu alienda kwa mkemia mkuu kucheki vina7 (of coz baada ya mitafaruku mingi)......akaambiwa mtoto ni wa kwakwe..........
Jamaa hakuamini akaenda hadi Nairobi, akapata jibu lile lile, mtoto ni wake!
Guess what? Ikabidi ndoa ivunjike bila kupenda.