Parata
JF-Expert Member
- Jul 26, 2011
- 3,090
- 692
Ni visiku vichache vimepita tangu niachane na alienipenda kutokana na sababu nilizowahi kuziainisha,
Ila nafurahia maisha ya kuwa single kwakua unaishi unavotaka na hakuna kufikiria unaibiwa wala nini,single ni raha sana jamani unakua huru kufanya yako kwa muda unaojua wewe,weekend ukiamua unatoka au ukiamua autoki.
Maisha haya ni matamu sana na najuta why sikugundua mapema...