nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 2,582
- 8,156
Wewe mumeo unampendea pesa?
Honestly speaking napenda pesa zangu mwenyewe natafuta Kwa ajili yangu binafsi sifikirii kuwazia pesa ya mtu.pesa ya mtu inamashart sana Sasa natafuta pesa Ili iwaje?? Niwe ombaomba Tena?
Ni vile hujakutana na hao wasichana ila asilimia 95 wanaume wanahonga parefu sana watu watakuja humu kujitutumua vifua mbele ila wanahonga vibaya mnooo