nakwede97
JF-Expert Member
- Aug 9, 2021
- 2,582
- 8,155
Kasema yeye anaowapata hawadumu ndo nauliza amejaribu kuwapa hela???Swali gani hili nakwede, mbona wengine hatuwapi hela na tunawapata.
Kasema yeye anaowapata hawadumu ndo nauliza amejaribu kuwapa hela???Swali gani hili nakwede, mbona wengine hatuwapi hela na tunawapata.
Duh basi sawaEeeh wasichana anaowapata utakuta ndo wale wanatka maisha mazur Kwa mwanaume Sasa kama hatoi hela unafikiria kunaatakaye weka Kambi hapo
Upendo wa kweli haununuliwiKasema yeye anaowapata hawadumu ndo nauliza amejaribu kuwapa hela???
Naunga mkono hoja.Upendo wa kweli haununuliwi
Kuliko kufanya hivyo n bora kununua malaya tuNaunga mkono hoja.
Kabisa ,hii kitu ya mapenzi ya hela aliye anzisha amefeli sana, ndio maana vilio vimekua vingiKuliko kufanya hivyo n bora kununua malaya tu
Sio Kwa Dunia ya sasaUpendo wa kweli haununuliwi
Hii sio kweli, ni namna ya kuhalalisha haramu iwe halaliSio Kwa Dunia ya sasa
Wanawake wa Sasa wanasura mbili kabla ya kumuoa sura yake ni ya kondoo mtupu ukishaoa ndo yalee fisi mla watu nilimsikia dada mmoja kwenye group la whatsap anasema yaan huyu anajeuri sana ngoja anioe nitamuonyesha Sasa nikajiuliza akimuoa atafanya nin😳Hii sio kweli, ni namna ya kuhalalisha haramu iwe halali
Kwani akishamwoa atafanya nini? Kwani akiingia kwenye kuolewa kuna kinga gani ya kumfanya asiachwe baada ya kuonyesha tabia yake mbaya ?Wanawake wa Sasa wanasura mbili kabla ya kumuoa sura yake ni ya kondoo mtupu ukishaoa ndo yalee fisi mla watu nilimsikia dada mmoja kwenye group la whatsap anasema yaan huyu anajeuri sana ngoja anioe nitamuonyesha Sasa nikajiuliza akimuoa atafanya nin😳
Kuna wanaume wako kama mazoba utasema yamewekewa dawa kupelekeshwa halafu hafany maamuzi yoyoteKwani akishamwoa atafanya nini? Kwani akiingia kwenye kuolewa kuna kinga gani ya kumfanya asiachwe baada ya kuonyesha tabia yake mbaya ?
Ina kuna wanawake pia hata akiomba pesa unaona kawaida tu , wapo wanawake wanakupa mipango , anaomba pesa kidogo kaona mradi fulani labda wa kufungua mgahawa wa chakula , na ukija fuatilia unaona kweli ile pesa umempatia imezalishwa , hao ndio wanawake sahihi.Kuna wanaume wako kama mazoba utasema yamewekewa dawa kupelekeshwa halafu hafany maamuzi yoyote
Wanapatikana wap Kwa Sasa 😄 pesa itaishia Kwa Les wigsIna kuna wanawake pia hata akiomba pesa unaona kawaida tu , wapo wanawake wanakupa mipango , anaomba pesa kidogo kaona mradi fulani labda wa kufungua mgahawa wa chakula , na ukija fuatilia unaona kweli ile pesa umempatia imezalishwa , hao ndio wanawake sahihi.
Wapo wengi tu , sema kwenye vigezo vya kuangalia uzuri wa sura na umbo hapo ndio tunafeli sanaWanapatikana wap Kwa Sasa 😄 pesa itaishia Kwa Les wigs
Mashindano yasiyo na msingi
Wewe mumeo unampendea pesa?Sio Kwa Dunia ya sasa
Mwanamke akishatanguliza sana hela huwa namtoa kwenye malengo kabisaKabisa ,hii kitu ya mapenzi ya hela aliye anzisha amefeli sana, ndio maana vilio vimekua vingi
🤣🤣🤣Mwanamke akishatanguliza sana hela huwa namtoa kwenye malengo kabisa