Kuwa single kupita kiasi

Kuwa single kupita kiasi

Lambo jini

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2018
Posts
235
Reaction score
314
Kwema wakuu

Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa amenisaidia sana

Shukrani
 
Mkuu mademu kadri unavyowatafuta sana ndio huwapati, and vice versa. Hizo ni Nyege zinakutesa.

Focus na issues zako then mademu watakuja tu automatic.

Be a Man, Stay Taliban.
 
hapa umemaliza kila ktu akiyashka haya amefaulu huo mtihani wake. Pia ajfunze mbinu mpya uwenda ana mbinu za shobo na kujionyesha, kujdai, misifa, dharau epuka haya. Kama una mdomo sn punguza kuongea ongea mademu wakufahamu kama si muongeaji sn, usiwape attention jfanye kama huna hbr nao. Kuna madingi ya 50+ yanapga hogo vibinti vya form 2 tn yanawabadilisha kama nguo we 27 ( ingawa uko zaid ya huu umri ) unajiona uko aged.
 
Kwema wakuu

Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa amenisaidia sana

Shukrani
Hali yako ya kiuchumi ikoje wakati huo nasasa
 
Kwema wakuu

Nisiwachoshe nasumbuliwa na upweke kupita kiasi kila demu nnayemtongoza ananikataa tofauti na kipindi nna miaka 22 hadi 24 ambapo walikuwa hawachomoi na mimi ni kijana msafi mtanashati now nna miaka 27 nahisi ni kama nimelogwa wakuu mwenye msaada wowote kimawazo au tiba atakuwa amenisaidia sana

Shukrani
pole mkuu kwa kufilisika.Tafuta hela upya usiambulie kuwaita mashemeji.
 
Back
Top Bottom