Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 6,333
- 8,251
Mapenzi ni utoto, ndio maana unaitwa baby nawewe unamwita baby kwa hivyo ili yanoge yanatakiwa yaelezewe kitoto. Kama huwazi utoto kwanini unamwitamwita baby, si uache mwite jina lake la ukoo.Akili yako muda wote inawaza utoto tu kwahy tusiweke miili yetu sawa acha ufa
πππππππKila mmoja afanye anavyojua bana!