Pengine wewe ndio hujaelewa picha wala mimi hujaniekewa.Duh mkuu ndio ulichoelewa kwenye huu uzi au unatania?!
Hao wanaume Ni Kama waarabu halafu mwanamke mzungu! Kama ndivyo hao wakiume huwa na roho MBAYA SANA!!!!jamaa kama hawaoni vile....kuna kitu hakijakaa sawa kwenye hiyo jamii sio bure.
Dada nilikuwa nipo Busy na wagonjwa wa Hepatitis B Virus,Ukimwi ,Saratani, Kiharusi na Ugonjwa wa Kisukari nipo busy sana kuwatibia hao wagonjwa basi ninakuwa sina nafasi kabisa lakini nitarudi tena ulingoni. mzima lakini?
Kumbe ndio mnavyofanyaga kuondoa uchovu
Daaah samahani boss naona kama hujaelewa kabisa mantiki ya uzi huu. Soma tena vizuriSiyo kila mwenye ndevu ndio ana tabia hizo. Hiyo ni hulka ya mtu mwenyewe kukosa ubinadamu katika situation kama hiyo. Assume ingewakuta ambao wana vipara hapo mngesema kuwa na dongo hakukufanyi uwe mwanaume.?
Msitake kutufanya wenye ndevu tunze kuchukiwa.
Kobisi, umenikumbusha nlmbaliHahahaaaa wamekula KOBISI.
Hahahaaaa misemo ya zamani sana hiyo....Kula kobisi aka kula ganzi aka kula jiwe.Kobisi, umenikumbusha nlmbali
Kuna mmama mmoja ndani ya Eicher alikuwa kabeba mtoto kasimama na eicher limejaza watu wameukausha,sasa abiria mmoja alikuwa amekaa karibu yule mmama aliposimama akanyanyula ili ashuke kituoni sasa yule mama anajiandaa kuketi kuna mbaba kwa spidi akampiga push yule mama na kuketi yeye..watu haswa akina mmama walimchamba sana yule jamaa tena alikaa siti ya mwisho katikati ya akina mama alisemwa balaa ila jamaa alikuwa kauzuKwenye mwendokasi zetu na usafiri
WA kawaida zipo sana hizo tabia
Ova
Naomba nielewesheDaaah samahani boss naona kama hujaelewa kabisa mantiki ya uzi huu. Soma tena vizuri
Mwaume yoyote wa ukweli baada ya kuona hali ya huyo mama angempisha kiti lkn imekuwa tofauti kwa wanaume hao watatu ndevu wanazo ( hivyo hatuna shaka kuwa ni wanamme) lakini matendo ni kidelishazi.Naomba nieleweshe
Kwa tafsiri isiyo rasmi. Kuwa na ndevu peke yake hakutoshi kuthibitisha kuwa u mwanaume. Wako wenye ndevu lakini hata sio wanaume. Matendo hasa ndo huthibitisha uanaume wa mtu. Mfano wale wanaume wa naniliu nao si wana ndevu pia?Naomba nieleweshe
Kuna utofauti gani na nilicho andika mimi.?Kwa tafsiri isiyo rasmi. Kuwa na ndevu peke yake hakutoshi kuthibitisha kuwa u mwanaume. Wako wenye ndevu lakini hata sio wanaume. Matendo hasa ndo huthibitisha uanaume wa mtu. Mfano wale wanaume wa naniliu nao si wana ndevu pia?