KUWA NA NDEVU HAKUKUFANYI UONEKANE WEWE NI MWANAMME...

Nijuavyo kwenye mabus na subway kuna sehemu maalumu za wazee na wajawazito ,akija hapo ni lazima uinuke ila kama kaja sehemu za watu wa kawaida si lazima kuinuka.Ni juu ya huyo mzee au mjamzito kutumia busara kama train au bus limejaa kusubiri lingine
 
Write your reply...
wana wamekula buyu,hawa jamaa makauzu dagaa akasome..
kama huyo msela wa kushoto kaamua kudondosha kabisa asimzoeezoee..
 
Dada nilikuwa nipo Busy na wagonjwa wa Hepatitis B Virus,Ukimwi ,Saratani, Kiharusi na Ugonjwa wa Kisukari nipo busy sana kuwatibia hao wagonjwa basi ninakuwa sina nafasi kabisa lakini nitarudi tena ulingoni. mzima lakini?

Namshukuru maulana sijambo kabisa niko buheri wa afya.

Kazi njema.
 
Na yeye wala hajaonesha udhaifu wa kutaka msaada.
Kumbe hata huko majuu wanasimama kwenye usafiri wa umma!!!
 
Siyo kila mwenye ndevu ndio ana tabia hizo. Hiyo ni hulka ya mtu mwenyewe kukosa ubinadamu katika situation kama hiyo. Assume ingewakuta ambao wana vipara hapo mngesema kuwa na dongo hakukufanyi uwe mwanaume.?

Msitake kutufanya wenye ndevu tunze kuchukiwa.
Daaah samahani boss naona kama hujaelewa kabisa mantiki ya uzi huu. Soma tena vizuri
 
Kwenye mwendokasi zetu na usafiri
WA kawaida zipo sana hizo tabia

Ova
Kuna mmama mmoja ndani ya Eicher alikuwa kabeba mtoto kasimama na eicher limejaza watu wameukausha,sasa abiria mmoja alikuwa amekaa karibu yule mmama aliposimama akanyanyula ili ashuke kituoni sasa yule mama anajiandaa kuketi kuna mbaba kwa spidi akampiga push yule mama na kuketi yeye..watu haswa akina mmama walimchamba sana yule jamaa tena alikaa siti ya mwisho katikati ya akina mama alisemwa balaa ila jamaa alikuwa kauzu
 
Kwanza hiyo ni mimba kweli au kajaza matambara..??
Halafu kwani hao wanaume hapo ndo wahusika waliosambabishia hiyo mimba(kama ni ya kweli) hadi wamuonee huruma?
 
Kwa tafsiri isiyo rasmi. Kuwa na ndevu peke yake hakutoshi kuthibitisha kuwa u mwanaume. Wako wenye ndevu lakini hata sio wanaume. Matendo hasa ndo huthibitisha uanaume wa mtu. Mfano wale wanaume wa naniliu nao si wana ndevu pia?
Kuna utofauti gani na nilicho andika mimi.?
 
8 Reactions
Reply
Back
Top Bottom