Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,450
- 12,317
Mara utasikia naenda iramba kueneza sera za chama,mara yuko amerika kwenye ziara ya kamati ya bunge akitoka amerika,atapitia "dubai kwa kazi maalum",hauja kaa sawa utasikia bunge la bajeti linaanza wiki ijayo,una angalia tv una muona wife mjengoni kaka pembeni ya "naibu katibu mkuu" kiroho kinadundaaa daaah,bunge linaisha unavuta pumzi mama anarudi nyumban, mara ziara ya katibu mkuu au mwenyekiti wa chama jimboni kwa mkeo ohoo, baada ya siku mbili kikao cha NEC dodomaaa....kama unajifanya una mapenzi ya dhati unaweza kufa mapemaaa kwa presha ila kama una lenga kutanua kitaa na ma V8 basi kua mpole tu.....
R.I.P Amina Chifupa &Mpaka Njia
R.I.P Amina Chifupa &Mpaka Njia