Fursakibao
JF-Expert Member
- Dec 12, 2017
- 6,996
- 11,886
Sijui nini kimekupata humu wewe?Sawa atafute hao waoaji mm sijawaona. Kama nadanganya naomba nitunze hii comment.
Sijui nini kimekupata humu wewe?Sawa atafute hao waoaji mm sijawaona. Kama nadanganya naomba nitunze hii comment.
Niko hapa nitafute utaniona hutajutiaNasikia kuna wanaume wema mbona mm siwaoni
Badirisha avatar yako mkuu inatishaKaribu kwangu upweke utausikia kwenye radio hautajuta kuwa na mimi
It's part of the package. Anataka a man of her own... amemiss romance za kuamka pamoja... play silly games like pillow fights.
She is not looking for a one night stand na ndo maana anachagua sana. Wenye biashara zao hawachagui wanaagalia hela tu. 😔😔😔
Mi nimemsoma. Ukimjudge kivingine ushafeli.
Anataka amrarue papachi..utamtmb.. daah hili neno hadi nimesisimka. Sijui ndo naumwa upweke pia?
Why should I worry about what anyone else thinks?"Akimjudge kivingine ashafeli".
How sure you are kwamba ulivyomsoma wewe ndiyo sahihi to the maximum?
-Kaveli-
Why should I worry about what anyone else thinks?
hivi maana halisi ya upweke nini?? maana mpaka leo hii nahisi huwa sielewi maana yakeUpweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute

[emoji12] vnye maneno wali ambiwa na Joka pale mtini
Mkuu Itabidi wanaume tumtafute joka atupe mautundu maana theory ya kujua mwanamke tumeikosa mpaka leo
Hahahaha ngoja wakamfurahishee bora upambane na wa mtaan atakuja tu wa kufanana naye.
Siri nzito mkuu, tukijua tu itakuwa mwisho wa jeuri yao,, ukiona wanawake wamekaa sehem jua wanakumbushiana yale maagano yaendelee kizaz hadi kizaz
Ila lile joka naskia ndo limewaingia ktk ubongo medula oblangata