King Elly
JF-Expert Member
- Sep 19, 2013
- 1,206
- 1,322
akajui kua mapenz ayaanzi tu paap mkapendana wote for the first time cha msingi atakaye mpata avumiliane naye mpaka itakapo fikia stage kua wamezoeana then waanze kurushiana mito chumbani ila akikurupuka uku jf watakavua bikini tu masikiniHahahaha ngoja wakamfurahishee bora upambane na wa mtaan atakuja tu wa kufanana naye.