Dharra
JF-Expert Member
- Jun 23, 2017
- 1,661
- 2,972
Unaweza kujua kwa nini wanakutongoza tena kwa idadi kubwa hivyo?Mhg mm mwenyewe siwez kutaja idadi ila ni wengi
Unaweza kujua kwa nini wanakutongoza tena kwa idadi kubwa hivyo?Mhg mm mwenyewe siwez kutaja idadi ila ni wengi
Huenda ulishiba sana siku iyoYan ukilala na mtu unayefanana naye unaota ndoto nzuri ila ukiwa mpweke unaota vinyamkera vinakufata
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Kabisa yaani hahahahahahahah vile ukiona simu yake tu moyo lipuuuuuu kama tank la Morogoro....Yan ukilala na mtu unayefanana naye unaota ndoto nzuri ila ukiwa mpweke unaota vinyamkera vinakufata
Nakataaa kabisa [emoji19][emoji19] wewe una chuki na wanawakeUnaunga mkono hoja[emoji12]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huenda ulishiba sana siku iyo
[emoji134]Nakataaa kabisa [emoji19][emoji19] wewe una chuki na wanawake
Ndiwooo[emoji134]
Kabisa yaani hahahahahahahah vile ukiona simu yake tu moyo lipuuuuuu kama tank la Morogoro....
Unaweza kujua kwa nini wanakutongoza tena kwa idadi kubwa hivyo?
Kudadeki. Ashapata kwa kufanana naeNafanana na wew kabisa sio tuu kurushiana mito tutakuwa tunacheza hadi mzki,kutaniana,kukuita kwa jina la babaako,kukubeba mgongoni,kutekana na bundiki za kitoy kama roma,kujificha mpka unipate kama vile nimetekwa na wasiofahamika, wew ni kama tenker la mafuta njoo uniangukie uniunguze moyo wangu niishe niteketee
Leo azam anachezea mapema
Good men are already taken.Wanaume wazuri huku kwenye 100 unapata mmoja na wengi wao wameoa.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna ka mchezo kamoja hivi nakapendaga mno"tunaenda baharini saa moja moja usiku hasa mwezi ukianza kuwa mkubwa..... Basi vile unachomoza unapiga baharini Kunakuwa na namna fulani amazing sana.... Hapo nshawekwa mapajani naulizwa "bby unajisikiaje ukiona vile pale" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu taratibu nanong'onezwa sikioni "I love you baby,"........ Aliyegundua mapenzi apewe kombe la dunia tu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Achaaa asipopokea simu unaugua ghafla
Huku patam sanaa [emoji12]Mhg wala nimemwambia tu ukweli kama namdanganya ache aingie kingii
Mi na mabinti damdamNdiwooo
[emoji12] ila pele limempata mkunaji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna ka mchezo kamoja hivi nakapendaga mno"tunaenda baharini saa moja moja usiku hasa mwezi ukianza kuwa mkubwa..... Basi vile unachomoza unapiga baharini Kunakuwa na namna fulani amazing sana.... Hapo nshawekwa mapajani naulizwa "bby unajisikiaje ukiona vile pale" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu taratibu nanong'onezwa sikioni "I love you baby,"........ Aliyegundua mapenzi apewe kombe la dunia tu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119] Hebu huko natania[emoji12] ila pele limempata mkunaji