Karucee
JF-Expert Member
- Mar 11, 2012
- 18,196
- 34,502
Dogo taratibu usifeli.Ajaribu aje atajuta yeye
Dogo taratibu usifeli.Ajaribu aje atajuta yeye
Mkuu naomba tutoane upwekeUpweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Be specific unataka wa namna gani maana naweza kuwa huyo unaemtaka afu sijijui come see meUpweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
UTAMTMB hapa umemaanisha Nini?Wewe tena nilikuona sehemu usiende pm kwa mdada wa watu utamtmb na umuachee
[emoji14][emoji13][emoji12] mbona umeanza mapema kuchana mkekaAjaribu aje atajuta yeye
Unataka umsage mwenzioMito hata mimi dadake naweza kumrushia atoe tu location.[emoji16][emoji16]
Kuna samsing amemiss. [emoji7][emoji7][emoji7]
Mimi sijaoaWanaume wazuri huku kwenye 100 unapata mmoja na wengi wao wameoa.
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Self lovePole sana. Lakini upweke unaokutawala ni mind set yako. Jifunze kuwa na furaha au kufanya vitu vitokee hata kama uko peke ako.
Mbona kuna mambo mengi ya kufanya na kukuondoa kwenye lindi la upweke kama ukiamua kubadilisha mtazamo.
Usipende sana kusikiliza maneno ya watu. Funga vioo. Ingawa najua niliyoyaongea yote ni magumu. Lakini kumbuka tunaishi mara moja. Anza kujifurahisha mwenyewe kabla ya kuwafurahisha watu ama kusubiri atokee mtu wa kukufurahisha
Venye kuonyesha unajali sana uvute totoz[emoji13][emoji13][emoji12]Kauzibe tu.
Not all men are dogs bana.
Walioandika hizi mambo na wao kitu penzi kinawatoa jasho,,
Weye umewakimbiza waoaji kwa kuweka hadharani kwamba weye ni mdangaji [emoji23][emoji23][emoji23]
akajui kua mapenz ayaanzi tu paap mkapendana wote for the first time cha msingi atakaye mpata avumiliane naye mpaka itakapo fikia stage kua wamezoeana then waanze kurushiana mito chumbani ila akikurupuka uku jf watakavua bikini tu masikini
Lile jamaa jeupe lenye upara lilikupiga na kukutupa kule?[emoji55][emoji55][emoji55]
Huyu tunanyoana hadi vuz*
Yaan namsafisha kotekote hadi kwapani anabaki kama alivozaliwa
Punguza mashambulizi basi[emoji3]
utaujuaje wema wa mtu labda kwasababu ujakutana na mimi mamaNasikia kuna wanaume wema mbona mm siwaoni
Ameweka kiunzi mapema[emoji3]
hahaha sema kweliBahati nzur hata papuchi yangu hajala nilipanga kumtapeli Nauli tu.