Kuwa mpweke yataka moyo

Kuwa mpweke yataka moyo

Hahaha hahaha sasa huyu mpweke tunamsaidiaje
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Kuna ka mchezo kamoja hivi nakapendaga mno"tunaenda baharini saa moja moja usiku hasa mwezi ukianza kuwa mkubwa..... Basi vile unachomoza unapiga baharini Kunakuwa na namna fulani amazing sana.... Hapo nshawekwa mapajani naulizwa "bby unajisikiaje ukiona vile pale" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Halafu taratibu nanong'onezwa sikioni "I love you baby,"........ Aliyegundua mapenzi apewe kombe la dunia tu[emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
 
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae


Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Nenda kwa sharuk khan...

Wabongo huo mda wakurushiana mito hatuna labda kurushiana makonde[emoji23]
 
Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae


Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
Watu kama wewe utakuta ulikuwa na boyfriend wake kwenye future na wewe tena muoaji kabisa,halafu ukadanganyika ukamuacha/ukamzingua.

Mwisho wake mnakuja na Maneno ya majuto na matarajio kama hapa kwenye uzi
 
Kuna walio kwenye mahusiano afu ni wapweke mbaya!yaani wao wana “*** mates” tu.
 
Back
Top Bottom