Muzine
JF-Expert Member
- May 4, 2017
- 32,366
- 60,492
Sasa upweke utaishaje
Wajaribu kunijaribu waone [emoji41]
Wajaribu kunijaribu waone [emoji41]
Ajaribu aje atajuta yeye
UTAMTMB hapa umemaanisha Nini?
[emoji14][emoji13][emoji12] mbona umeanza mapema kuchana mkeka
Dah pole sana mkuu!! Muombe Mungu atakupatia wa kufanana nae.Upweke ni mtihani Sana usimbe takukute
Sio kwamba utongozi au utongozwiii rahashaaa inachotokea unakosa wa kufanana nae
Sijui lini nitapata wa kurushiana mito chumbani
..utamtmb.. daah hili neno hadi nimesisimka. Sijui ndo naumwa upweke pia?Wewe tena nilikuona sehemu usiende pm kwa mdada wa watu utamtmb na umuachee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wa huku jf waongo japo lazima waje Pm jiandae kupigwa na kuachwa uongez donda ndugu
[emoji23][emoji23]Wewe tena nilikuona sehemu usiende pm kwa mdada wa watu utamtmb na umuachee
utaujuaje wema wa mtu labda kwasababu utuakutuna mama
hahaha sema kweli
..utamtmb.. daah hili neno hadi nimesisimka. Sijui ndo naumwa upweke pia?
[emoji12] kachezea 2-0Kama yanga ilivyofungwa
Nashukuru nimepata wa kufanana nae, yaani ni burudani Muda woteeee... Nahisi kunenepa japo sina mapesa ....
Unaunga mkono hoja[emoji12][emoji23][emoji23]
[emoji12] kachezea 2-0
[emoji12] vnye maneno wali ambiwa na Joka pale mtiniBaharia huo muda wa kurushiana mito unautoa wapi? Piga mashine lala
Akienda kwa muhuni mwingine anapigwa mashine alaf anasema bby wangu yeye sio mtu wa show ,anapenda kurushiana mito tu..
Leo azam anachezea mapemaWa kimataifa hahahha