WanachonikwazaDunia ya Digitali hii.
Kwa nini uwe na laini moja?
Mimi nina za mitandao yote, kila mmoja una faida zake na hasara zake.
View attachment 3532206
ππ ongezaaaaMi ninazo nne
Mie namiliki 5 tu mwananguπndiyo mmenishtua imebidi nihesabu..!
Nina laini 7, nyingine hazipo kwa majina yangu..
4 za biashara, 3 ndiyo personal japo ninazotumia zaidi ni 2, 1 ni mahsusi kwa ajili ya miamala. tu.!ππΎ
dosho12 Vincenzo Jr Depal
mko na laini ngapi wazee wenzangu..!?
Majority ya simu zote duniani ni DUAL, ikimaanisha kwamba sim 2 tu zinaweza kuwa hewani kwa wakati mmoja.Wanachonikwaza
Laini za eSim huwezi kuwasha zaidi ya mbili kwa mara moja..
Ila we umetisha laini kumi na tatu π , za nini zote hzoππ ongezaaaa
Mmmh mbona hazipatikaniπββοΈπββοΈπββοΈ0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.
Nimefanya nini jamaniππShindikanaa kabisa broπ
Kumbe Simu ikiwa ina support esim unaweza kuadd laini zaidi ya mojaMaximum 20, yani hapo bado sanaaa
Ndio mkuu, unaziadd zoote.Kumbe Simu ikiwa ina support esim unaweza kuadd laini zaidi ya moja
Ok ahsante kwa ufafanuzi mzuri vip kuhusu namna ya kuunganisha kama Simu ndio mpya ?Ndio mkuu, unaziadd zoote.
Ila zinazokuwa hewani kwa wakati mmoja ni 2 tu maximum.
Hivyo unaamua mwenyewe uwe hewani kwa line ipi na ipi.
Nicheki bwana acha mambo yako!!!Mmmh mbona hazipatikaniπββοΈπββοΈπββοΈ
ππππNicheki bwana acha mambo yako!!!
Unanipa namba za mwigulu kweliπββοΈπββοΈπββοΈNicheki bwana acha mambo yako!!!
Kuunganisha unaenda kwenye shops za mtandao husika, ni dakika 2 tu chaapOk ahsante kwa ufafanuzi mzuri vip kuhusu namna ya kuunganisha kama Simu ndio mpya ?
Pamoja mkuuKuunganisha unaenda kwenye shops za mtandao husika, ni dakika 2 tu chaap
π nna mbili tu mwayaIla we umetisha laini kumi na tatu π , za nini zote hzo