Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,226
- 68,242
Watanzania wengi tunamiliki zaidi ya laini moja ya simu.
Tuambie ukweli una laini ngapi za simu?
Tuambie ukweli una laini ngapi za simu?
Naomba ithibitishwe haraka.Nyingi, mbili za mawasiliano ya kawaida, moja ya lipa namba, mbili za miamala.
0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.Naomba ithibitishwe haraka.
Mi ninazo nnendiyo mmenishtua imebidi nihesabu..!
Nina laini 7, nyingine hazipo kwa majina yangu..
4 za biashara, 3 ndiyo personal japo ninazotumia zaidi ni 2, 1 ni mahsusi kwa ajili ya miamala. tu.!🙌🏾
dosho12 Vincenzo Jr Depal
mko na laini ngapi wazee wenzangu..!?
Shindikanaa kabisa bro😅0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.
Hahahaa mangi huyu mtoto namzimikia sana, sijui kwa nini hanitaki, au kwa vile sina pesa?Shindikanaa kabisa bro😅
Mkuu naona umejilipua 😀0766212225, 0678921567 za mawasiliano..nicheki basi nikuambie kitu kizuri.
Bwashee tatizo lako hautoi chakula 😜Hahahaa mangi huyu mtoto namzimikia sana, sijui kwa nini hanitaki, au kwa vile sina pesa?