Kuwa milionea katika dunia ya kiteknolojia

Mangole Valles Michael

JF-Expert Member
May 30, 2021
333
671
Wakuu habarini za Leo.

Napenda kuwapongeza wadau wote waliomo humu ndani. Mimi binafsi natambua michango yenu ktk kusaidia na kuelekezana mambo mbali mbali yahusuyo computer.

Dunia ya leo inaenda kasi Sana nasi tumekua mashuhuda, asilimia kubwa ya matajiri utajiri wao umetokana na mfumo wa kitekinolojia, tunamuona Bill Gate, Jack wa China, waanzilishi wa Facebook, YouTube n.k Ni wengi Sana kwa idadi na kadri dunia inavyo zidi kukua ndivyo watakavyo jitokeza matajiri wengine.

Ni kweli tekinolojia ni pana Sana, lengo la makala hii nimewalenga wadau wote wa Computer science & it student's group kutoa mchango wenu;

i/ Nikwa namna gani sisi kama wadau wa to Tunaweza kuziona fursa kubwa ZINAZO weza kufanya mapinduzi ya kitekinolojia na sio kuishia tu kwenye maswala madogo madogo?

ii/ wewe unawaza nini katika kujikomboa kiuchumi kupitia elimu hii ya tekinolojia uliyo nayo?

*ainisha na maono yako na plan ulizo nazo.

KUMBUKA MAKALA HII IPO KWA NIA YA KUTUJENGA,KUJIFUNZA, PAMOJA NA KUONA MICHANGO YA FURSA KUTOKA KWA WADAU.

NASUBIRI MICHANGO YENU WADAU

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi binafsi. Natengeneza websites (websites development) na uzoefu wa 3 years almost. Najua lugha ya HTML5, CSS3, JavaScript (es5 na es6) kwa front end stack, na backend natumia PHP 7+ up to 8.

Niende moja kwa moja kwenye kipengele (I) hapo juu
Application km ya Khan academy Ni Bei gani kutengeneza
 
Mimi binafsi. Natengeneza websites (websites development) na uzoefu wa 3 years almost. Najua lugha ya HTML5, CSS3, JavaScript (es5 na es6) kwa front end stack, na backend natumia PHP 7+ up to 8.

Niende moja kwa moja kwenye kipengele (I) hapo juu

1. Kujaribu kuangalia mifumo ya kiteknolojia ilipo nje nchi zetu then, kuangalia kama tunaweza kuimplement huku kwetu mfano kama AirBnB, Alibaba ,Amazon. Mfano kama M-PESA nafkr ilitoka kenya via Safafiricom kuja Tanzania, imeleta impact kubwa sana kwny uchumi wetu kwa kutoa ajira, na mengine neyo. Kupitia wizara ya Mambo ya teknojia na mawasiliano ingeweka utaratibu wa kupokea idea za watu then zinachambuliwa, alfu idea nzuri zinapewa funds kuziendeleza then serikali inakuwa na shares pale na founder(s), mfano kama huyu jamaa wa Max-Malipo alivyopewa support na investors. Kuna project hats kuzifanya background in ngumu kutokana na resources kama server ,computer unaiyotumia limited performance. Mfano marekani project kama TOR ukisoma mwazoni kabisa sponsor alikuwa ni serikali.

Hivyo kukosekana kwa kuwa na mfumo wa kupokea ideas nzuri na mambo mengine ya supports tunaishia kuwa na blogs ,YouTube channel ,na kazi ndog ndogo za mtaani, japo wapo walifanikiwa

(ii) Plan nilizonazo katika kujikomboa kiuchumi na kujaribu kufanya project(s) yoyote ambayo naona inawz kuwa ndani ya uwezo wangu kwa kuangalia resources nilizonazo. Kwa sasa nlikw na pambana na blogs na nimepata Matangazo from Google Adsense as starting point ,tofauti na hapo ndo hiyo kutengeneza websites kulingana na hitaji LA mteja.
HONGERA
SWALI LANGU :
1.Vipi kuhusu changamoto ya huduma yako?
2.soko likoje kwa ujumla wake .??
3.unafanya freelancing kama ndio unapata project ngap kwa siku , na ni platform ipi watumia ??
 
Back
Top Bottom