TheDreamer Thebeliever
JF-Expert Member
- Feb 26, 2018
- 2,490
- 3,534
Habari wadau..!
Hii imewakuta watu ninao wafahamu.
Ipo hivi unaweza ukawa umesafiri salama ila ukishuka tu kituo cha bus pale stand ya Magufuli unapokelewa moja kwa moja mpaka polisi post ukizingua kunyoosha mkono au maelezo unajikuta upo Ukonga, Keko au Segerea sijajua sasa kama ni ubambikiwaji kesi au ni coincidence inatokea.
Usiniulize inakuwaje:Jamaa anahadithia alienda kwenye msiba mkoani wakati wa kurudi akafungashiwa mizawadi ya ndizi na mazagazaga alipofika stand akasimamishwa na watu wanajiita polisi jamii wakawapakia na mizigo yao mpaka kituo cha polisi, polisi wakachana katikati ya kiroba wakakutana na kitu ya marijuana msala ndio ukaanzia hapo.
Je hii ni coincidence kwamba kuna wahuni walichanganya viroba wakabeba sio, utapeli mpya mjini au ubambikizwaji kesi za bangi???