Kuwa introvert ni tabu sana!

Cjajua ni vip inatokea mpaka mtu akajiita introvert au kwa kipimo gani lkn sipend marafiki ila napenda sana kubonga story na wana Afu napenda sana kutongoza japo sijui sana kwenye sekta hyo ila inasaidia kupunguz sana mawazo
 
Huyu ni mm asilimia 100 na tuna akili balaa mno halaf we overthink na mara nying tunavoviwaza muda mrefu huwa vya kweli sana...hata kuongea sana na simu hatupend unaweza kupiga simu nikaiangalia nisipokee na txt nisijib nikajib afta wiki moja 🤣🤣
 
Inawezekana na mm niko
Inawezekana na Mimi ni Semi-Intro ngoja nijichungulie make na enjoy zaidi nikiwa peke yangu japo nafasi hiyo naipataga kwa nadra sana
 
Mwisho wa kulerax na simu ni 2 minutes ukizidisha nakukatia pia sipendi mzunguko....nenda Moja kwa Moja kwenye mada
 
Mimi nilikuwa nikitoka home naulizwa na watu umerudi lini
Mimi nilikua na uwezo wa kua mpole mpaka walimu walinisamehe kua Mimi si stahili kupewa adhabu..

Na sura ya upole Sana na nilisha samehewa Sanaa Sana na walimu wakali balaa..

Tukio la udogo nalo kumbuka nikiwa shule za awali ILI WAI KUPELEKWA TAARIFA KUA MIMI SICHANGAMKI PIA SICHEZI NA WENZANGU..

NILISHANGAA SANA NILIPO PEWA ILE TAARIFA KUTO KUPENDA UTUNDU NA FUJO ZA WATOTO WENGINE NIKAAMBIWA SICHANGAMKI NA SICHEZI NA WENZANGU.
 
JF kila mtu ni Introvert
 
tupo hapa ni kweli mitandaoni tumechangamka ila mtaani ni kama hatupo,mm nilishangaa kuna watu mtaani huwa tunaonana na mda mwingine kuna kijiwe tunakutanaga na kuongea kwa zaidi ya mwaka ila siku walipoambiwa mimi natokea familia fulani pale mtaani walikataa,kwanza kila siku nikija hapo kijiweni sitokei hiyo njia ya nyumbani natokea upande mwingine kwahiyo wakajua nakaa nyumba za huo upande naotokeaga zaidi ya mwaka tangu tujuane,wakati hapo kijiweni na nyumbani kwetu unapita nyumba 3 tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…