Ndio sababu, baadhi ya mashirika ya Mapadri wa Kikatoliki huwa hawamchukui first born kuwa Padri, atashindwa kubeba majukumu ya kichungaji na yale ya familia yake. Kuwa first born huku Afrika ni shida sana.Yani first born akazingua Mara nyingi Wazazi wanapata msongo wa mawazo. Maana kiafrika first born Ni Kama mzazi wakitoka baba na mama yeye ndo anakabidhiwa majukumu.
Last born wanakuwaga mazezeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Poleni first born, last born is the real deal!...
Sasa mkuu si baraka unapata?Yaani huu ni uuaji
Wazazi wana rob childhood of an innocent kid kwa kumpa majukumu ya kuwalelea watoto waliozaa wao kwa ngono zao wao wenyewe kwa utashi wao
Hawa wazazi ni wa kushika na kufunga jela kabisa,hii ni child abuse
Ni unyonyaji na uuaji kukabidhi mwanadamu mwingine atumie nguvu zake na maisha yake limited na resources zake limited hapa duniani kukusomeshea wanao uliojizalia kama juha?
I will never do this dangerous thing to anyone,I will pay and be responsible to everything I have decided kuzaa myself
Never
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]Mimi kuna likaka langu moja lina hela ila halisaidii nyumbani
Ila kuna wengine mkuu maisha yamewatoboa....Sanaa na ndio maana wametoboaa
First born ni gombania goli mkuu kwenye vita ya malango katika ulimwengu wa roho, ndo maana maisha yao huwa yana changamoto sana.....last born yeye ni mtoto pendwa kwa hiyo na yeye anaweza kuwa target. Hebu muite mshana aje atudadavulie vizuri kuhusu hili. Halafu nyie last born mbona huwa mnazingua sana? yaani unakuta ameshakuwa mtu mzima ana familia yake, ila kazi kujibaraguza ili apate attention, hivi huwa mnajikuta nyinyi ni nani hasa?ohooo!!! ongezea infos
Ungejua...Ila umetutukana[emoji23][emoji23]Last born wanakuwaga mazezeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Last born wanakuwaga mazezeta[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nimecheka Sana[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Wewe huwa huwasaidii wadogo zako?Yaani huu ni uuaji
Wazazi wana rob childhood of an innocent kid kwa kumpa majukumu ya kuwalelea watoto waliozaa wao kwa ngono zao wao wenyewe kwa utashi wao
Hawa wazazi ni wa kushika na kufunga jela kabisa,hii ni child abuse
Ni unyonyaji na uuaji kukabidhi mwanadamu mwingine atumie nguvu zake na maisha yake limited na resources zake limited hapa duniani kukusomeshea wanao uliojizalia kama juha?
I will never do this dangerous thing to anyone,I will pay and be responsible to everything I have decided kuzaa myself
Never
Ametutukana mno malast born.Ungejua...Ila umetutukana[emoji23][emoji23]
hahahah[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] wanasemaje?Nishawaambia na pesa sina ya kuoa
[emoji28][emoji28][emoji28]Wanaitwa deputy parents au wazazi waandamizi [emoji3]
Kusaidia wadogo zako ni upumbavu?Nani kakudanganya?
Mungu yupo hapa duniani ku-reward uonevu?
Yaani wewe ufanye uzembe wako,uhamishie majukumu yako kwa wanadamu wengine wasiohusika then mungu akusaidie ku-reward hao watu unawaonea?
Huyo mungu ni mpumbavu na anasaidia katika uonevu wa watu wasio na makosa
Wazazi hawana uwezo wavune walichopanda wao maana ni maamuzi yao wao binafsi kujiletea yanayowakuta
Kama kuna natural calamities kama ulemavu,vifo,magonjwa makubwa,etc hapo tunaweza ongea and still nina hoja ya kupangua huo upumbavu
Hii virtue binadamu waliyopewa na dini yakua kila binadamu ni sacrificial lamb kwa mwanadamu mwenzie ni very very bad idea
Hizo changamoto ujiongeze tu.Habari zenu wakuu,
Jamani ma first born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada yaani ushatwikwa majukumu kama yote.
Mafirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Ni upumbavu
Hoja yangu ni simple kabisa.....
Inakuaje una deprive your biological kids with their basic needs and inheritance kwa kuwapa watoto wa mwanadamu mwingine?
Yaani wewe unachukuaje haki na mali za watoto wako ambao hawajafanya kosa lolote unaenda kuwapa wanadamu wengine?
Wenyewe wapate wapi mali na matunzo ambayo ni haki yao rightfully?
Kwanini kila mwanadamu dunia hii asihudumie mwanae aliemleta duniani kuliko kuwapa wanadamu wengine hilo jukumu?
Na kama unapenda sana hizo Baraka,zinawahusu nini watoto wako hizo baraka?
Yaani unawanyang'anya wanao mali zao kwa your own benefit ya kupata "baraka"?
Wizi ni wizi tu..hakuna cha maana hapo..na mungu mwenyewe ni mpumbavu pia