Mimi juzi dogo anaingia six wamefungua shule mwezi wa saba Ada hamna na anadaiwa ya term iliyoisha. Mshahara ulipoingia nilitoa Kama ulivyo nikamtumia, Yani tuseme nasurvive kwa nguvu za muumba. [emoji2]Amebaki dogo mmoja yuko mwaka wa pili huu dah ananiumiza kichwa sana. Chuo private, ada mil 3.2 plus gharama zingine zote. Sasa hivi sina laptop karibia mwaka sasa, aliichukua yeye asomee.
Najiona kabisa saa hizi namiliki hiki na hiki ila ndio hivyo pesa inaenda kwake. Acha amalize nile bata.
mzee do you believe in spirituality?Hongera kama wazazi wameweza kukutegemea japo kipato hakitoshi. Ni vita kubwa ya kiroho wamepambana nawe pia umepambana bila kujijua maybe hadi wewe umefika hapo.
Kuna wazazi wengi watoto zao wa kwanza hawawezi hata kuwategemea kwa ushauri maana mshale wa dira upo kusini badala ya kaskazini yaani kama ni dish la kiroho lilishaaguka kabisa no chanel.
Maan mtoto wa kwanza ni vuno bora linalotafutwa na Muumba pamoja na ibirisi. Wote hao wanakuwinda wachukue hesabu yako kwako.. Ibilisi anapiga kichwa cha familia/first born ili familia iivurugike na Mungu anataka akiongeze kichwa cha familia ili familia isipalanganyike. Kama mzazi au mzaliwa wa kwanza usipojitambua utaishia kubaya.
Hongera sana kwa hilo maana tambua kwamba Mafanikio yako si ajili yako bali kwa ajili ya wae walio nyuma yako. Siku moja kidogo hicho kitaongezeka usivunjike moyo[emoji110]
Tembea na kanuni hii... Family- Duty- and Honor
Family always come first
damn!!! halafu unasikia kafanya ujinga kafeliMimi juzi dogo anaingia six wamefungua shule mwezi wa sita Ada hamna na anadaiwa ya term iliyoisha. Mshahara ulipoingia nilitoa Kama ulivyo nikamtumia, Yani tuseme nasurvive kwa nguvu za muumba. [emoji2]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] jamaa kauzu sabaMimi kuna likaka langu moja lina hela ila halisaidii nyumbani
bado na mashemejiHapo umezungumzia familia tu,bado ndugu. Hatari kabisa,usipokuwa mvumilivu unavunja undugu
waambie bado hujajipangaMi nalazimishwa kuoa huku
kama amefeli inakuaje?Wadogo zangu wawili wananielewa vema sana nipoje
Huwa sicheki nao kabisaaaa, ukiomba hela ya shule unatakiwa kuja na maendeleo yako ya shule kama huwezi kajitafutie
Kwenye maswala ya shule sicheki na kima yoyote
Na nimewaambia mkishindwa kila mtu akatafutr pa kukaa sio kwenda kusumbua wazee
First Born wanapitia mengiNilikutana na mtu mmoja wa kanda fulani akaniambia, jamii nyingi kwenye familia wanatumia mtoto wa kwanza kutanya matambiko yao ambayo huwaathiri wao na maisha yao.
Akaniambia nichunguze mafanikio ya first born wengi na mikasa ya maisha wanayokutana nayo.
Nilikuwa mnyonge sana japo sijui ukweli wa hili.
Lakini Mungu ndiye anaamua hatma ya maisha ya kila kiumbe.
Sent from my Nokia 3.1 using JamiiForums mobile app
Nishawaambia na pesa sina ya kuoawaambie bado hujajipanga
Yes. I'm Catholicmzee do you believe in spirituality?
hata waliozaliwa 1995 mzeeFirst born walozaliwa kuanzia 2000 shughuli wanayo. Wamekuta soko la ajira liko tight.
duh!! hatari sanaHii inanihusu sana, sina uhusiano mazuri na babaangu japo nampenda....
Mzee wangu alidakwa na Malaya kabla ya kustaafu Kazi wakala mafao na bidada mpya, mama akafa kwa presha bado inaniuma sana
ohooo!!! ongezea infosFirst born wajiangalie wasije kuwa kafara la wazazi wachawi......hii dunia imekumbatia mambo mengi sana....
Mkuu tupo!Habari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.
Yaan first born anapewaga privilege kubwa sana...1st born mna raha hasa kipindi mnasoma.
Mahitaji yote muhimu mnapewa ,yaani macho yote yanakuwa kwenu.
Wasaidieni wazazi kutusomesha.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sanaa na ndio maana wametoboaaUkubwa jalala.... first born mmekula ving vinono enz za utoto wenu
Habari zenu wakuu,
Jamani maFirst born hasa tuliozaliwa kwenye hizi familia zetu za kipato cha kawaida nadhani msoto wa kukabidhiwa majukumu kabla ya wakati mnaujua.
Yani umepata kibarua Chako hata we mwenyewe hujimudu vizuri, unakabidhiwa mdogo wako umsomeshe na majukumu mengine ya nyumbani usaidie. Yani wadogo zako wao slope tu, kitu kidogo mtafuteni kaka/dada Yani ushatwikwa majukumu Kama yote.
maFirst born mliobeba majukumu ya mzazi popote mlipo hongera zenu.