Kuvunjika kwa uchumba

Mimi nilisikitika tu kwa muda waliopoteza.
Kuna mengi walifanya pamoja ukiachana na hiyo misaada ya hela.

Nilishindwa kujudge kwa sababu niliheshimu maamuzi ya dada...na kwa maamuzi yake yupo sahihi tu.

Ila nikijaribu kukaa upande wa kaka naona kama hajatendewa haki.
Kikubwa kila mtu alishaendelea na maisha yake na jamaa amemove on.
 
Bro andika kijitabu chako kinaweza kikasaidia watu wajao haswa ugusie kwenye ulimwengu wa kiroho, mapambano ya kutoboa kimaisha
 

Eti atafute kiazi mwenzie
.

Kaka huna roho ya huruma japo kidogo.


Sisi tunachoongea ni kwanini asingemwambia mapema kama hakumpenda!?!

witnessj
 
Kuhusu mioyo ni full haki dada yangu

Hakuna moyo wa mtu unaonewa mapenzi

Umenyimwa mapenzi ni kwamba hupendwi,huna pa kwenda kushitaki popote duniani

Jishitaki wewe mwenyewe kwenye moyo wako binafsi

Kwanini sasa ampotezee muda?
Kwani hakuona tangu mwanzo kama hampendi,baada ya miaka mitatu kupita ndio amegundua kuwa hampendi
!
 
Unazimia unazinduka na kusonga mbele kama Injili?
SA ni rahisi sana kusema, ila omba yasikukute.
Injili inasonga mbele bila kurudi nyuma


Naomba yasinikute,na pia naomba nisije mfanyia hivyo mtoto wa watu.

Last month niliota nimevunja uchumba siku ya ndoa,shughuli zinaendelea watu washajaa ukumbini mimi nikamwita pembeni nikamwambia noo siolewi.
Yaani eti niliota nimeandaliwa harusi ya surprise bila mimi kujua,nachukuliwa,napambwa,napelekwa ukumbini ,naambiwa eti ni harusi yangu,Bwana harusi namjua na hakuniambia kama ananioa,ila hiyo harusi hakuna hata ndugu yangu anayejua.

Ndoto nyingine hizi ni balaa tupu
 

Eti atafute kiazi mwenzie
.

Kaka huna roho ya huruma japo kidogo.


Sisi tunachoongea ni kwanini asingemwambia mapema kama hakumpenda!?!

witnessj
😄😄 Angemwambia vipi na wakati dada alimchukulia mwenzake kama potential flani?
Ila kwa 3yrs sidhani kama ni kweli dada alikuwa anamtumia huyo kaka kama daraja la kujivukia alipo break up.

Itakuwa dada alijaribu kuchepuka then akanogewa huko nje. Akaona mbona kaka hana huba kama ninalolipata huku nje? Huyoo akayeya na 240kph
 
Kumbuka ilikuwa couple ya kanisani.
Inaenda kikristo,No sex
,,na tuliamini hivyo.

Sijui hata Shetani gani aliwavuruga
yaani ukiwaangalia wote wapo innocent mno.


Eeh!?
akayeyuka na 240KPH ,atakuwa alikiwasha na Subaru
 
Pole sana mkuu! Ila inaumiza sana hiyo , Yaani hapo hakuna namna ili uweze kuepuka kikombe hicho kibaya fanya uamuzi mgumu ndugu yangu!
Hapo fanya kama vile mtu alipoteza pesa barabarani na umetafuta bila mafanikio so unaamua kuacha itokee kama ilivyo! Jitahidi kuwa mtulivu katika maamuzi unayochukuwa, amini kuwa ni Mungu tu hakupenda mipango yako hiyo ikamilike.
Ruhusu moyo wako kumtoa moyoni na jilazimishe kumsahau ukiamini kuwa utampata mwingine zaidi yake!
Usiwe na pupa ya kuchukua maamuzi yoyote bali kuwa mpole, jitofautishe na yeye, nina uhakika huyo hafiki popote atarudi mwenyewe!
 
Hahahaa church's couple... Ni wachache sana eti wanaoshii kihivyo 'no sex. Ya gizani huyajui..

Me chuo kuna dada mmoja alikuwa anauliza kwani wanafanyaga nini huko 'during sexual intercourse? Alikuwa msabato kindaki ndaki, aibu kama zote hata mbele ya wasichana wenzake habadilishi nguo. Kilichotokea unakijua? Hata chuo hakijaisha dada kaanza kulamba ndimu na maudongo

Binti kawasha suby bila reverse 😂
 

🤣🤣🤣 ulikemea ilo pepo? Au ulimalizia kufunga ndoa yako.
 

Ile couple Mimi niliiamini mno, sijui lakini hatujui ya sirini ila niliiamini.

Nilishtushwa Sana na mambo yalivyoisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…