Kuvunja poverty circle sio kitu rahisi

Kuvunja poverty circle sio kitu rahisi

Mteta mada hili jambo ni kweli ni mepigana nalo kiasi ni mefanikiwa ila limeniacha na hali ambayo siku paswa kuwanayo. ajabu familia inaoa kama ni lipaswa kufanya hivyo. Bila hivyo nami ni ngekuwa ngorongoro na tizama na kusoma magazeti
 
Last edited:
Hua siamin sana kwamba elimu yaweza kuvunja poverty cycle,binafsi nimewai kujikuta kwenye hilo janga tena nikiwa na umri Mdogo (sio kama uliemtolea mfano maana yangu hayakua makubwa ivyo)
mm nilikataa shule tena kwa herufi kubwa baada tu ya elimu ya msingi na kuamua kuzamia dunian kukombua kile kilichokua kinaangamua..ya Mungu ni mengi kwa msaada wake nimefanikiwa kuvunja hyo poverty cycle

Sio kazi rais kabisa kuvunja mkataba na umasikin unaitaji kuagana na nafsi, kupamba na umasikini ni sawa kabisa na kupambana na shetani unatakiwa kupambana kiroho(kumuomba MUNGU) na kimwili!
Kuna mengi ya kujifunza hapa....endelea kutufunza mkuu
 
Thanks mkuu
Tutafika tu

Here is my five point guidance of "nothing"

1. Nothing happens without work, it is absolutely important to work in order to better our situations. Some people go as far as defining luck as being good preparations meeting good opportunity.

2. Nothing happens before it's time. This is a complex tautology. Far for advising complacency, a careful analysis will see that this tautology stresses to us to push for the changes we want (as we do not know the appointed time for these changes to happen), but to not despair if the changes do not happen at the timeframe we want these changes to happen.

3. If you frame your context right, nothing will be impossible. The question is, are you framing your context, aligning your talents, focus and resources right?

4. Nothing ethical is beneath the humble seeker. If an opportunity presents itself, but it is not up to the intellectual challenges you want, the job you went to school to do, your social status, etc, but it is legal, ethical and can support you at least for some time while you are aligning your other targets, take it. Albert Einstein was once working as a paltry patent officer in what must have been the lowest level of civil service ranks in Bern, Switzerland. That was just his day job, at night he wrote serious physics papers and corresponded with world famous physicists promoting his ideas. Today, he is a legend. That paltry desk job enabled him to support himself and his family and do his physics without worrying about rent money.

5. Nothing can stop an enterprising smart person. If something is in your way, take that as an opportunity to overcome. Alexander The Great used to cry to his father, that the father, Phillip of Macedonia, was fighting too many wars, killing too many enemies. Alexander was afraid that by the time he grew up, there would be no more enemies to fight and no more lands to conquer. He must have thought "what a boring and inglorious life that would be". Let no crisis go to waste.

Now I feel like I am one of those motivational speakers.
 
Last edited:
This is a battle of the mind and visionary decision
Mimi niliwahi kuona nyumba moja ambayo ilikuwa ina extended family
Hii nyumba ilihusisha Mama mwenye nyumba alikuwa na watoto 3, mama yake mzazi ambaye alikuwa na watoto zaidi ya 3, watoto wa dada yake zaidi ya 3 na ndugu wengine
Kilichokuwepo kwenye hiyo nyumba mtu akiamua kumtoa mtu kijijini kumleta mjini basi haina shida. Si ndugu yetuu
Kuna mtu alivaa ujasiri akwamwambia yule Mama mwenye nyumba(Ndiye Mtu Aliyekuwa anaanza kutoka kimaisha)
Ukiwa na utitiri wa watu namna hiyo huwezi pata maendeleo, akaanza kama ifuatavyo:
1.Akaanza na watoto wake katika 3 mmoja mkubwa akamtafutia kazi kwa muhindi akamfukuza home akabaki na 2 ambao ni wadogo
2.Watoto 4 wa mama yake ambao 2 tuu ndio walipaswa kuwa tegemezi aliwabakisha 2 waliobaki 1 alikuwa mtu mzima alishafanya kazi zaidi ya miaka 4 akamfukuza 1 mwingine alikuwa dada wa kudanga akafukuzwa
3.Wa dada yake woote nao akawafukuza yule dada sasa ilibidi awatafutie makazi na shughuli za kufanya
Nyumba iliyokuwa na watu 16+ ikabaki na watu 6 tuu
Na hao waliobaki kila mtu inabidi achangamke aondoke nyumbani akajitegemee
Tatizo kubwa la familia zetu tunaoneana aibu saana
 
Mada inafikirisha sana,unajua shida ni kwamba umasikini unaanzia kichwani yaani namna yako ya kuwaza na kufanya maamuzi..lakini mfumo wenyewe Wa maisha tayari ushatengeneza matabaka..kutoka Kwenye mzunguko inahitaji juhudi binafsi.
 
unapozungumzia umaskini, kaa ukijua kuwa unazungumzia mfupa mgumu sana kuutafuna. Kuna mambo mengi sana nyuma ya pazia yaliyopelekea watu fulani kufanikiwa au kuanguka. bahati nzuri haya ya nyuma ya pazia huwa hayaguswi katika mijadala yetu mara nyingi. Kama tunagusa basi ni kwa juu juu tu ila ndio ukweli wenyewe. Nitataja machache.
1. sera za nchi yetu, hili ni tatizo namba moja. sera zetu hubadilika over night.
2. mfumo wa maisha baada ya uhuru ambao ulibadilisha kabisa mind set za wazazi wetu waliokuwepo nyakati hizo
3. Miundo mbinu
4. Elimu/maarifa.
 
kuna watu wamefanikiwa sababu sera/mazingira ya kipindi hicho ilimruhusu yeye na overnight sera ikabadilika na isimfae wa kesho.
Kuna watu walifilisiwa overnight na sera za uhujumu uchumi, na sisi tukiwa wadogo tuliwachukia sana wenye ukwasi vijijini na mijini. sasa kuna watu na hata sisi tuliamini ktk ujamaa, lakini ujamaa unatoa haki kwa wote hata wasio fanya kazi. Waziri mmoja aliwahi kusema kila mtu ataubeba msalaba wake mwenyewe, nakumbuka nilikuwa chuo, tuliandamana kupinga kauli ile. Tulikuwa wajinga. Leo huwezi jua tunacheza ngoma gani.

Kuna sehemu zina hazina kubwa, lakini imechukua miaka kadhaa kuwa na miundo mbinu ya uzalishaji. Kila mtu anajua. Ukija kwenye elimu, naomba huko nisiseme, maana kila mmoja ni mhanga wa hili kwa njia moja ama nyingine. Familia kubwa au ndogo, ni suala pana sana, kuna walio zaliwa wengi na wote wametoka na kinyume chake.
 
Hakuna kitu kigumu kama hichi ktk familia masikini hasa inapikuwa kubwa yani watoto wengi, hii ni changamoto kubwa, naweza kusema ni kansa ya familia.
Jitihada za kila mwanafamilia zinahitajika ili kujaribu kujinasua kutoka ktk hili lindi la umasikini, ikiwa mmoja au wawili watajitahidi kujinasua na wakapata njia halafu wengine wakageuka kuwa tegemezi, basi ujue hata kile kidogo kilichoanza kupatikana kitapotea. Familia inatakiwa kuungana na sio kutengana au kutegemea wachache.
Zipo familia mbili tatu nazifahamu zimefanikiwa kujinasua na wana maisha mazuri na uwezo mkubwa kbs wa kipesa ilihali elimu yao ni darasa la saba na aliesoma ni form four. Wapo watoto wa kiume 5 wameushinda umasikini kwa asilimia 100, muhimu ni kutokata tamaa kwa kupambana kwa nguvu na akili zote usiku na mchana.
 
ktk mazingira haya haya magumu kuna wadau wabishi wamepambana na wametoka, zaidi sana wametumia mbinu za medani ambazo mtu wa kawaida hawezi kuzipata.Na hizi mbinu za medani hazitajwi na hazitatajwa sababu ni haramu, ikiwemo upendeleo, rushwa, kufanya ujasiriamali kwa niaba ya mtu mwenye mamlaka, wizi, kutolipa kodi, kufanya biashara haramu na baadae kutakatisha fedha. Unaweza ukachukua mfano wa mtu ambaye hujui alipataje mtaji, kumbe baba/babu zake walifanya uharamia na vitu kama hivyo.

Juzi kuna mtu Kenya kasema " mtoto wa maskini akipata atakuwa kaiba, mtoto wa tajiri akipata, basi hela ni za babake".

Jibu ninaloamini mimi ni hili, lazima uchanganye mambo yafuatayo, uwe na elimu, sera zikuunge mkono, uwe na juhudi na ujikane, kazi ifanywe kwa bidii na maarifa na familia yako ikuunge mkono katika mapambano, au achana nayo, lazima uthubutu na kusimamia ndoto zako.
 
utegemezi pia unaturudisha nyuma,unakuta mtu mmoja anategemewa na ndugu zaidi ya ishirini,wao na familia zao.

Mbaya zaidi hata ukijititumua ukapanda ukapat tuhela hata kama sio twingi bado hao hao ndugu ndo wakwanza kuleta wivu,husda,chuki,fitna na ushirikina.
 
Here is my five point guidance of "nothing"

1. Nothing happens without work, it is absolutely important to work in order to better our situations. Some people go as far as defining luck as being good preparations meeting good opportunity.

2. Nothing happens before it's time. This is a complex tautology. Far for advising complacency, a careful analysis will see that this tautology stresses to us to push for the changes we want (as we do not know the appointed time for these changes to happen), but to not despair if the changes do not happen at the timeframe we want these changes to happen.

3. If you frame your context right, nothing will be impossible. The question is, are you framing your context, aligning your talents, focus and resources right?

4. Nothing ethical is beneath the humble seeker. If an opportunity presents itself, but it is not up to the intellectual challenges you want, the job you went to school to do, your social status, etc, but it is legal, ethical and can support you at least for some time while you are aligning your other targets, take it. Albert Einstein was once working as a paltry patent officer in what must have been the lowest level of civil service ranks in Bern, Switzerland. That was just his day job, at night he wrote serious physics papers and corresponded with world famous physicists promoting his ideas. Today, he is a legend. That paltry desk job enabled him to support himself and his family and do his physics without worrying about rent money.

5. Nothing can stop an enterprising smart person. If something is in your way, take that as an opportunity to overcome. Alexander The Great used to cry to his father, that the father, Phillip of Macedonia, was fighting too many wars, killing too many enemies. Alexander was afraid that by the time he grew up, there would be no more enemies to fight and no more lands to conquer. He must have thought "what a boring and inglorious life that would be". Let no crisis go to waste.

Now I feel like I am one of those motivational speakers.
preaaaach!!..This is pure gospel.,saving it for later use.
 
Capitalism ni nzuri kuliko ujamaa maana ya capitalism ni Kazi juu ya Kazi hakuna mjomba kama ujamaa, ni jinsi ya kutap kupata MAARIFA na kuyafanyia Kazi,capitalism usababisha mzunguko Mkubwa sana wa noti,mtaani kuliko ujamaa hivo ni bidii yako tu kwenda spidi.Tusingekumbatia ujamaa tungekuwa mbali sana,ila ardhi tuombe iendelee kuwa ni Mali ya serikali kamwe asiruhusiwe mtu kubinafisha ardhi awe mpangaji tu.
Tatizo tukitaka kuingia capitalism wazee watapinga sana
 
Mtoa mada uko sahihi...Ukizaliwa masikini kuna uwezekano mkubwa sana wa kufa masikini wewe na kizazi chako...tena sasa hivi maisha haya ya kibepari hata ukijitutumua kusoma ajira hamna.....Ukibahatika kupata kazi ujira mdogo...Zile ajira zenye maslahi makubwa zinaishia kwa watoto wa matajiri tu na wenye wazazi wenye connection kubwa....Kuna msemo usemao maji hufuata mkondo..
Tena kwa hizi zama za jiwe ndio umaskini anaukoleza vizuri... Ipo cku namimi ntakua rais
 
Kuondoka ktk umasikini unatakiwa kama nchi kuwa na Sera za uchumi, elimu na kuzaliana. Apo unakuwa umepambana na umasikini Kwa kiwango kikubwa.
China waliweza mwaka 1978. Kwa kuweka sheria kali ya kuzaliana Kwa mtoto mmoja ambae utaweza kumudu. Uwezi kuwa na maisha mazuri kama una wategemezi wengi. Waafrika utajiri Mkubwa ni kuwa na watoto wengi, ambao ni umasikini tosha, kama tutawekeana sheria kama kuzaa ni idadi kazaa apo kidogo tunaweza kutoka ktk umasikini mbali na apo umasikini utaendeleea kutamalaki kila kona ya bara la Africa
 
Totally true!
Inahitajika hata kuhama na kutoongea na some of the ndugu, it’s tough lakini ukiwa na focus lazima utashinda tu!
Kitakacho kushinda ni wewe mwenyewe walahi!
Kuna mtu ninamfahamu aliiba ngombe wa baba yake ili imsaidie katika kujikomboa na umaskini na akafanikiwa!
Njia ya mafanikio sio rahisi kama wanavyo pewa darasa na motivation speakers
 
Here is my five point guidance of "nothing"

1. Nothing happens without work, it is absolutely important to work in order to better our situations. Some people go as far as defining luck as being good preparations meeting good opportunity.

2. Nothing happens before it's time. This is a complex tautology. Far for advising complacency, a careful analysis will see that this tautology stresses to us to push for the changes we want (as we do not know the appointed time for these changes to happen), but to not despair if the changes do not happen at the timeframe we want these changes to happen.

3. If you frame your context right, nothing will be impossible. The question is, are you framing your context, aligning your talents, focus and resources right?

4. Nothing ethical is beneath the humble seeker. If an opportunity presents itself, but it is not up to the intellectual challenges you want, the job you went to school to do, your social status, etc, but it is legal, ethical and can support you at least for some time while you are aligning your other targets, take it. Albert Einstein was once working as a paltry patent officer in what must have been the lowest level of civil service ranks in Bern, Switzerland. That was just his day job, at night he wrote serious physics papers and corresponded with world famous physicists promoting his ideas. Today, he is a legend. That paltry desk job enabled him to support himself and his family and do his physics without worrying about rent money.

5. Nothing can stop an enterprising smart person. If something is in your way, take that as an opportunity to overcome. Alexander The Great used to cry to his father, that the father, Phillip of Macedonia, was fighting too many wars, killing too many enemies. Alexander was afraid that by the time he grew up, there would be no more enemies to fight and no more lands to conquer. He must have thought "what a boring and inglorious life that would be". Let no crisis go to waste.

Now I feel like I am one of those motivational speakers.
Haaaaa
 
ktk mazingira haya haya magumu kuna wadau wabishi wamepambana na wametoka, zaidi sana wametumia mbinu za medani ambazo mtu wa kawaida hawezi kuzipata.Na hizi mbinu za medani hazitajwi na hazitatajwa sababu ni haramu, ikiwemo upendeleo, rushwa, kufanya ujasiriamali kwa niaba ya mtu mwenye mamlaka, wizi, kutolipa kodi, kufanya biashara haramu na baadae kutakatisha fedha. Unaweza ukachukua mfano wa mtu ambaye hujui alipataje mtaji, kumbe baba/babu zake walifanya uharamia na vitu kama hivyo.

Juzi kuna mtu Kenya kasema " mtoto wa maskini akipata atakuwa kaiba, mtoto wa tajiri akipata, basi hela ni za babake".

Jibu ninaloamini mimi ni hili, lazima uchanganye mambo yafuatayo, uwe na elimu, sera zikuunge mkono, uwe na juhudi na ujikane, kazi ifanywe kwa bidii na maarifa na familia yako ikuunge mkono katika mapambano, au achana nayo, lazima uthubutu na kusimamia ndoto zako.

Hahaaa,

Huu mstari "" mtoto wa maskini akipata atakuwa kaiba, mtoto wa tajiri akipata, basi hela ni za babake". umenikumbusha mstari mmoja wa rapper Mos Def

If white boys doin it, well, it's success
When I start doin, well, it's suspect
-Mos Def "Mr. Nigga"

Similar Discussions

Back
Top Bottom