miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
Ndo mana mie nakupendajeeeeee
nakupenda pia mama
Ndo mana mie nakupendajeeeeee
Kwani una umri gani bibie???? Na je unaishi wapi???? Nimeuliza hivyo kutaka kujua maana inawezekana unaona ugumu kuvua pichu kumbe hata huvaagi.
Things have changed my dia,cku hizi kumvua mtu chupi cyo ishu tena maana ni sawa na kula chakula,wakati zamani hata kuiona tu chupi ilikua ishu na ukiona chupi lazima uwasimulie wenzako lakn sasa hivi utaziona kila mahali;ukiwa na cm utaona mpaka tigo,ukirudi home ndo unakuta zimeanikwa utafikiri mihogo na ukiingia mtaani au ofcn unakutana na watu wamevaa in such a way kwamba lazima utajua mpaka rangi,,,,!!!
Sasa basi, hata hivyo vitumbua vilivyo kwenye kwenye chupi havina thamani tena na "SUPPLY YAKE IMEKUA KUBWA KULIKO DEMAND" Na kwakua kitumbua chako ni sawa tu na vingine huna haja ya kutowapa wananchi,,,,!!!!
Mamamamamamamaaaaeeeeee so humu niandike matangazo ya vifo?
Mamamamamamamaaaaeeeeee so humu niandike matangazo ya vifo?
Ivi unategemea swali hilo ujibiwe kweli? Yaani atokee ke hapa aseme "mimi naweza [nilishawahi] kumvulia me pichu huku simpendi"?
Atakae jibu hivyo atakuwa kichaa!
Na usishangae ukiambiwa wao ni mabikira! Teh teh teh!
But in reality wanazivuaga sana tu kutokana kubalance kile wanachopokea!!!!
Na sikati kuamini mimi Mashaxizo na sura yangu kama ubale wa njugu nyasa wale wanaonivulia pichu yao wamenipenda!
Ushauri wangu kwako: MTAKA CHA UVUNGUNI...!
Umenifurahisha sana mkuu.Pia nashangaa pia mie na jisura langu hili wanaonivuliaga pichu wote wakua wananipenda ati????Wala sitaki kuamini mieee
Shkamoon wakuu
Kuna kitu najiuliza labda kuna watu wana uzoefu humu
Mie nlishawahi kujaribu kuwaza jinsi ya kumvulia pichu mwanaume ambaye hayupo moyoni mwangu
Hii siyo mara moja kiukweli ni mtihani sana kujilazimisha kuect kumpenda mtu fr somthing labd ingekuwa naweza hicho kitu ningekuwa hata mh.umukagame naw ningekuwa levo zngne kabsa lakn nshashindwa
Wenzangu em nambien kama kuna yyte alishawahi kujilazimisha kumpenda mtu na akafanikiwa!!mie moyo ukishasema no huwa inakuwa no kwel cbadilishwi
atakufa ujue
kwani huko kuna tindikali?
miss chaggakama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only
mmekutana waongo watupu hapa.mnaonyesha ni vicheche sana.acheni kuzuga.kila siku mnapigwa miti na mnaowapenda na msiowapenda.wahumu ni watepe sana.