Kuvua pichu pasipo kupenda

Kuvua pichu pasipo kupenda

Shkamoon wakuu
Kuna kitu najiuliza labda kuna watu wana uzoefu humu
Mie nlishawahi kujaribu kuwaza jinsi ya kumvulia pichu mwanaume ambaye hayupo moyoni mwangu
Hii siyo mara moja kiukweli ni mtihani sana kujilazimisha kuect kumpenda mtu fr somthing labd ingekuwa naweza hicho kitu ningekuwa hata mh.umukagame naw ningekuwa levo zngne kabsa lakn nshashindwa
Wenzangu em nambien kama kuna yyte alishawahi kujilazimisha kumpenda mtu na akafanikiwa!!mie moyo ukishasema no huwa inakuwa no kwel cbadilishwi

Vipi ile mijibaba mitatu olokuwa unaivulia pichu? Nayo pia ulikuwa unaipenda?
 
kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only

Hahahhahahha umenikumbusha mbali sana uko period ndo waonana naye ukiwa mzima uko bize hatari, me nisipokupenda hata kugusana tu na wewe siwezi.
 

Hii defensive mechanism imekaa kianalojia mno (eti unaibuka ghetto uko period)

Usiombe ukutane na vidume waliofiwa kondoo mabegani,teh teh teh watakufukunyua hayo Malinda mpaka ukome!
 
Hahahhahahha umenikumbusha mbali sana uko period ndo waonana naye ukiwa mzima uko bize hatari, me nisipokupenda hata kugusana tu na wewe siwezi.

mimi naweza ila usikiss kwanza afu naanzisha storry za kitoto yani zille zinaanza na mama yangu, mdogo wangu, kaka yngu, mjomba, ant suzi sijui mbona utakoma lazima uboreke
 
Kirahisi hivyo binti?mulize mke wa mengi sasa hivi alimpenda mzee Regi kwa moyo wake wote?
Sidhani ila Pichu alivua kilaaaiiiini tena kibikini
Kupenda kuna vigezo vingi vinaweza kukusababisha sio tu kuivua ukabuta tu kale kauzi kwa pembeni na kupewa dushelele
 
wewe kwa hiyo we ni kichaaaaaaa? jibu swali umkula wangapi hawakupendi?

Mh! Ivi misschagga unataka kuniamisha unaowa.... wote umewapenda?

kiupande wangu natambua hawanipendi but kunakitu wanapenda kutoka kwangu! Kwa mantiki hiyo, pindi sina kile wapendacho pichu hazivuliwi!
 
aisee siwezi kabisa kufanya mapenzi na mwanaume nisiempenda hata zile promise za uwongo siwezi hata chochote kutoka kwake sipokei
 
SIWEZI MNYANYASA MWANAUME KIHISIA KIASI HICHO
NAFANYA KILICHONIPELEKA KWAKE

vinginevyo kama labda tumekutana tu jana ama hatujisikii

FANYA KILICHOKUPELEKA KAMA KUFUA KUNA WADADA WANAFUAGA
KAMA KUPIKA MTAKULA HOTEL

do ur job ama quit wengine wachukuliwe
unazan mwanaume anakutongoza anataka umpikie?????
au umfulie????
kama ana uwezo wa kukupa mara 10 ya pesa atakayompa dada wa kazi kwa siku moja akija kufanya usafi unadhani alikutongoza ili
KAMA HUMPI SI USIMKUBALIE UNAFATA NINI KWAKE
 
Unadhani wanaotaka pesa wanavua kimapenzi....hamna mtu anayependa kufanyiwa operesheni lkn inapobidi mwenyewe unaenda thieta.
 
Acheni mbwembwe nyie, kwani makahaba huwa wanawapenda hao wanaume?
Na hao makahaba ni wauzaji wa hiyo kitu walioamua kujiweka hadharani , kuna mamillioni ya wasichana/wanawake wana exchange hiyo kitu kwa all sorts of favors. Wako kila mahali. Nao wanakuwa wamependa? Haya wanaokuwa na michepuko 10 nao wamependa wanaume 10?

Hapa hamtasema ukweli, but deep down u know the truth

Halafu wewe umukagame ukome kutuambia shkamoo kila siku sisi wakubwa wenzio ati!

Shkamoon wakuu
mie moyo ukishasema no huwa inakuwa no kwel cbadilishwi

kama umpendi uwezi mvulia pichu hata kama ana kitu nitamzungusha mpaka anachukia hiyo kitu na nikienda kwake nakuwa period that only
 
Last edited by a moderator:
Akiomba samvu sasa inakuwaje utajiondoaje. Wengine ukienda hivyo wanajua mchezo wako ni enzi zile za sodoma utafanyaje sasa


Nitasema kweli daima
nitamuuliza do u love me? if yes can u please be good to me i promise i will give to u after finish this.... namwambia hny you know how much i love u mbona atatulia tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom