kuvolunteer

kuvolunteer

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Habari zenu wakuu,mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23,Taaluma yangu ni ufundi umeme ngazi level 2,Naombeni msaada wenu wa kupata nafasi ya kuvolunteer katika viwanda ama kampuni yoyote ile,chuo nimemaliza mwaka jana mwezi wa 1O,Na mpaka leo sijapata kazi yoyote ile na kama mjuavyo kitaa kigumu wadau..Tafadharini sana naombeni msaada wenu,Aliye tayari ani-PM au anitumie kwenye email yangu Jumaramadhani8O3@yahoo.com / 0718302132
 
Pole kajana,umemaliza chuo gani? kama upo dar andaa cover letter na CV yako vizuri then peleka Aga khan Hospital huwa wanachukua sana vijana wa kuvolunteer.ukiweza peleka na TEMESA hapo maeneo ya MSD area (keko darajani)
 
Kuna uzi ambao unataka fundi umeme uko Moro wenye Hotel ya Kitalli look for it unawez kuwa ndo nafasi yako
 
Pole kajana,umemaliza chuo gani? kama upo dar andaa cover letter na CV yako vizuri then peleka Aga khan Hospital huwa wanachukua sana vijana wa kuvolunteer.ukiweza peleka na TEMESA hapo maeneo ya MSD area (keko darajani)

mkuu wanachukua watu wa field zote?for instance nina B.A Public Administration what are my chances there?
 
Pole kajana,umemaliza chuo gani? kama upo dar andaa cover letter na CV yako vizuri then peleka Aga khan Hospital huwa wanachukua sana vijana wa kuvolunteer.ukiweza peleka na TEMESA hapo maeneo ya MSD area (keko darajani)

Nimemaliza pale chuo cha maji Rwegalulila nyuma ya wizara ya maji pale ubungo
 
Back
Top Bottom