"KUVA" ndani ya Chit Chat na MMU

"KUVA" ndani ya Chit Chat na MMU

Determinantor

Platinum Member
Joined
Mar 17, 2008
Posts
61,488
Reaction score
100,883
Haya haya haya kumekucha tena, tunapigika na kila mtu anatafuta Ujiko kwa namna yake ya kipekee no matter what the cost maybe.......Jana kwa viungo vyangu vyote nimeskikia vyombo vya matamnshi vikitamka kwa ujasiri kuwa Kiongozi wetu mahiri sana, shujaa na jasiri kuliko wote asiependa sifa kabisa japo anaongoza kajimbo kadogo tu, Mheshimiwa Alhaji atatinga JUKWAANI kutafuta "wachochezi" hasa kwenye uongo na mapenzi na hivyo kwa kuanzia ataanza na majukwaa tajwa hapo juu.

Uchochezi umejikita katika nyanja zifuatazo; wamiliki wote wa simu zaidi ya mbili ambazo moja haifiki nyumbani na hivyo My wife wake haifahamu, pili, wale wote wenye tabia za kutongoza wana MMU kisha wakipewa miadi wakirudi wanasema "JF imejaza Vipori" na hapa mchochezi namba moja ni saudari tatu wana CC wote wanaopenda kuwazengea wake zetu hasa kwa kujifanya ni majirani wema na marafiki wema hapa sijui kamanda Kuva atam'baini nani sijajua bado, intelejensia yangu haijanipa majibu bado, pengine MANI

lakini pia akina dada wa JF wenye tabia ya kupiga mizinga na kwa kumsaidia Kamanda hapa mie namhisi Paloma na Little Angel

Onyo: tuweni makini kwani Jeshi letu sikivu likiongozwa na Chama Cha Mapenzi viko serious kukomesha tabia hizi...


Have a blessed weekend
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye kupigwa vizinga kwangu mimi wamechuti kabisaaaaa.

pochi.jpg

CC kwa wapiga vizinga wote kama vile King'asti, Smile, lara 1, Mamndenyi, Paloma na Little Angel.
 
Last edited by a moderator:
watu wa mizinga wapo ila hiyo orodha yako mwalimu saudari mmmh umeuwa bendi
kwani haujui lara 1 ni mtoto wa mzee wa vijisenti? King'asti ni daktari ana mshahara mkubwa, Smile ana mgodi wa dhahabu kule mererani, Paloma mke wa kwenye mtandao wa sosoliso anakula vya bure, Little Angel labda ndo bado anapiga piga mizinga Mamndenyi????????

Hapo kwenye kupigwa vizinga kwangu mimi wamechuti kabisaaaaa.

View attachment 93091

CC kwa wapiga vizinga wote kama vile King'asti, Smile, lara 1, Mamndenyi, Paloma na Little Angel.
 
Last edited by a moderator:
watu wa mizinga wapo ila hiyo orodha yako mwalimu saudari mmmh umeuwa bendi
kwani haujui lara 1 ni mtoto wa mzee wa vijisenti? King'asti ni daktari ana mshahara mkubwa, Smile ana mgodi wa dhahabu kule mererani, Paloma mke wa kwenye mtandao wa sosoliso anakula vya bure, Little Angel labda ndo bado anapiga piga mizinga Mamndenyi????????
hebu mwambie wengine tunamiliki benk zetu.ukituona na mwanaume ujue ni malovee tu yametupeleka pale
 
seems JF ni mabingwa kwa kuwa na Videmu vya Mizinga eeeh, Ngoja Kuva ameashaanza kazi ya kuitembelea JF
 
Mpwa saudari kama hizi taarifa si za kweli njoo ukanushe halafu ukadai fidia mahakamani tuondokane na umaskini sie bhana
saudari wewe si kila siku unatembea na manundu kisa kupigwa makonzi na wanaokudai
Kuna siku watakutoa macho
 
Last edited by a moderator:
Don't fear a fear until fear fears you!

Simwogopi wala siwaogopi!

Niko kwenye mazishi OLASITI ya watu waliouawa kwa mabomu, najua waliofanya hivyo they can strike anytime but siwaogopi!

Hence, I AM FEARLESS.
 
Mpwa saudari kama hizi taarifa si za kweli njoo ukanushe halafu ukadai fidia mahakamani tuondokane na umaskini sie bhana

Taarifa zilizotolewa na Mr Rocky sio zakweli, hivyo namuomba aje hapa mtandaoni kuniomba radhi kwa kunichafua mtandaoni.
Nampa masaa 3, asipofanya hivyo atajutia maamuzi yake.
 
Last edited by a moderator:
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Zaburi[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]12[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya. [/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Don't fear a fear until fear fears you!

Simwogopi wala siwaogopi!

Niko kwenye mazishi OLASITI ya watu waliouawa kwa mabomu, najua waliofanya hivyo they can strike anytime but siwaogopi!

Hence, I AM FEARLESS.
 
umekuwa lini Mchungaji jamani? Duh una verse kali kweli, keep it up Mama
[TABLE="width: 636"]
[TR]
[TD="class: xl67, width: 54, bgcolor: transparent"]Zaburi
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]12
[/TD]
[TD="class: xl65, width: 28, bgcolor: transparent"]5
[/TD]
[TD="class: xl66, width: 737, bgcolor: transparent"]Kwa ajili ya kuonewa kwao wanyonge, Kwa ajili ya kuugua kwao wahitaji, Sasa nitasimama, asema Bwana, Nitamweka salama yeye wanayemfyonya.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Elli hapa natafuta mbinu nyingine za kupiga mizinga.......ole wako usogeee anga zangu!!!!!
 
Last edited by a moderator:
Don't fear a fear until fear fears you!

Simwogopi wala siwaogopi!

Niko kwenye mazishi OLASITI ya watu waliouawa kwa mabomu, najua waliofanya hivyo they can strike anytime but siwaogopi!

Hence, I AM FEARLESS.

ha ha ha Arushaone.. mkwala wa uoga utaujua tu..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom