Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (written) ya secretarieti

chakutu

Member
Feb 23, 2018
62
41
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
 
Ndio Bongo Jombi, nasikia hao watu wa social worker uwa hawatambuliki Tziii ni vibaka tu na kweye idara uwa wanakuwa chini ya Idara ya Maendeleo ya Jamii kwa hiyo kuna uwezekano mkubwa mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii atakuwa kawaambia maafisa wake wawatungie huo mtihani ili wawakomoe.

:3Dance::3Dance:
 
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Mkuu kaa chini uandike upya
 
Kwa hiyo Social worker hashughulikii mambo ya social development?
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
 
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomi
 
Yaani hao watu ni wajinga sijapata kuona.
Ni aibu Hadi Kwa wazazi wao
 
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
walijuaje kama maswali yalikua ni ya social development officer na sio ya social worker?

maana yake walikua wanajua wanachopaswa kujibu whether ni social development officer au social worker, waliamua tu kujifelisha kwa makusudi kama walifeli 🐒
 
Kupata kazi serikalini Kwa kipindi hiki kama huna connection soma sana
Hakuna kipindi rahisi kupata kazi kama sasa, na hii siisemei leo bali tangu usaili uwe chini ya PSRS na kuondoa kwenye taasisi binafsi

Tangu harakati za Dodoma zianze nakiri wengi wamechoma nauli ila matunda yake wameyaona

Mimi binafsi nilitoboa huko huko utumishi baada ya kujaribu kete kadhaa na nilipata bila connection yoyote ht sekretari tu wa utumishi simjui, hivyo nasadiki ni Mungu tu alinipigania🙏🏿
 
Ulitoboa TRA
 
Kuuliza sio ujinga jamani kwani mitihani ya kuandika (Written) ya secretarieti ya ajira ni nani anayekuwa anaitunga? Maana nilikutana na mabinti kwenye BUS wanalalamika wamepewa maswali yote yanayowausu watu wa Social Development Officer wakati nafasi ya ajira ni kwa ajili ya kada ya Social Worker.
Social Development Officer ndio watu gani tena?
 
Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomi
Walikuwa wanasema social development wao walikuwa wanakisoma kama kijisehemu kidogo tu ndani ya social work. Kama mtahiniwa anatarajia kuajiriwa kama social worker unampimaje kwa maswali yote ya social development ilhali hizo nafasi ni kwa ajili ya social worker?
 
Ulikutana na kundi la wajinga kwani wameshindwa kujua kuwa social workers wanahusika pia na Social development? Hii ndio shida ya kusoma bila kuelewa hahahaha….hizo kada zote zinafanana kazi wote wanatakiwa kuzifahamu vyema! Shida watu hawasomi
Kuna "Afisa Ustawi wa jamii" na kuna " Afisa Maendeleo ya jamii". Nafasi iliyotolewa ni ya "Afisa Ustawi wa jamii" mtihani wa mchujo wamepewa wa "Afisa maendeleo ya jamii". Wacha kubeza, wana hoja katika hilo.
 
Back
Top Bottom