Kutunza pesa pia ni kipaji

Kutunza pesa pia ni kipaji

Boss saving without purpose of saving is impossible... Tafuta lengo la kufanya saving for instance unataka kujenga kununua gari, wedding, business, Alafu ndio uanze kuweka pesa.. Bila hivyo unapoteza Muda..
Nakubaliana na wewe 100%...
Saving without a purpose ni kujinyima na kujiumiza...ukiwa na lengo...ni rahisi sana kuitunza pesa yako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
badilisha mfumo wa maisha yako mkuu.... Vitu vya bei kubwa mfano saa, chips yao, soda MA vingine unapunguza tu....kama ni vitu vya room unaweza nunua mchele kilo 30 mafuta kidumu 1, vitunguu na mambo mengine hapo inayobakia unafanya saving... Kama job sio mbali sana unaweza tembea pia it's Owky tu...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu umeongea point, save kwa malengo hapo utaweza.
Mimi huwa naweka malengo, let say nataka ninunue kiwanja.. Basi priority yote naiweka hapo mpka nifanikiwe.

Ila sema inahitaji roho ngumu sana, maana matatizo ya ndugu na jamaa hayaishi, ukiwa na roho nyepes unajikuta ww kila siku unakuwa mtu wa kutatua shida zao!
Boss saving without purpose of saving is impossible... Tafuta lengo la kufanya saving for instance unataka kujenga kununua gari, wedding, business, Alafu ndio uanze kuweka pesa.. Bila hivyo unapoteza Muda..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningeweka picha ya pesa ninavyoweka ila sitokuwa salama coz kuna ndugu zangu kadhaa wanajua wataona. Ila mm kwa sasa naweka hata kwenye kindoo kidogo simple tu mpaka kinajaa hata kama ni miaka 2 ndo nahesabu. Mwaka jana mfano nilikuwa na visado vinne
1. Kimejaa jero jeroo
2. Kimejaa 200 mia 2
3. Mia mia na
4 hamsini hamsini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hizo pesa zinapata kutu,imekuaje zako zikasalimika hasa mia mia na hamsini
 
Back
Top Bottom