Kutunza pesa pia ni kipaji

Kutunza pesa pia ni kipaji

Tatizo wengi wanajaribu kuweka pesa kwa mwezi mpaka mwaka. Kuweka malengo mazuri ni kujiwekea malengo ya miaka kumi kumi utafanya nini.

Na hii inasaidia sana. Uhai hakuna mwenye guarantee nayo ila tunapanga tu.

Sent from my iPhone using Tapatalk
 
hicho kipaji isee
Mkuu usianze na pesa za noti hizo ni rahisi kujikopesha mnoo. Kwamba upate 50,000 alafu utoe 10,000 uweke hahahaha kesho tu unajikopesa. Weka pesa za sarafu sarafu hata kama kuna mtu anaomba pesa utaona uvivu kubeba kifuko cha 50 kwa 50 kwenda mpesa kumtumia.

Au kubeba mzigo wa mia mia ili ujikopeshe kwa jambo lisilo na uzito so itakuwa imekusaidia kiasi moyo kuanza kuzitoa kwenye mahesabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu usianze na pesa za noti hizo ni rahisi kujikopesha mnoo. Kwamba upate 50,000 alafu utoe 10,000 uweke hahahaha kesho tu unajikopesa. Weka pesa za sarafu sarafu hata kama kuna mtu anaomba pesa utaona uvivu kubeba kifuko cha 50 kwa 50 kwenda mpesa kumtumia. Au kubeba mzigo wa mia mia ili ujikopeshe kwa jambo lisilo na uzito so itakuwa imekusaidia kiasi moyo kuanza kuzitoa kwenye mahesabu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ushauri wangu usiweke hela i mean cash jaribu kununua vitu ambavyo unaweza badili kuwa fedha
 
Back
Top Bottom