Kutumia vitu vilivyo kwisha muda wake


Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2017
Messages
1,154
Points
2,000
Pyepyepye

Pyepyepye

JF-Expert Member
Joined Jan 6, 2017
1,154 2,000
Habari wanajamvi

Naomba kuuliza sheria inasemaje ikiwa nitauziwa chakula au kinywaji kilichokwisha muda wake na kuja kugundua nikiwa nishakitumia tayari.
 
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Messages
4,203
Points
2,000
B

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined Nov 17, 2013
4,203 2,000
Inategemea.
Kama tarehe ya kuisha muda ilikuwepo wewe ukazembea kuangalia inakula kwako.
Kama ulikuwa na uwezo wa kukagua na kugundua kasoro na hukufanya hivyo inakula kwako pia.

Kasoro inapaswa iwe ile ambayo kwa akili za mteja wa kawaida asingeweza kuiona wala kutambua ila mzalishaji pekee.
 

Forum statistics

Threads 1,295,919
Members 498,479
Posts 31,228,043
Top