Utayarishaji chapati kwa kutumia sponji ni tishio kwa afya ya mlaji

Vesper-valens

JF-Expert Member
Mar 6, 2020
5,273
7,362
Habari zenu,

Kumekuwa na mtindo mpya wa kuchoma chapati nyingi kwa wakati mmoja kwenye 'maframpeni' makubwa sehemu za migahawa mikubwa ili kuweza kukidhi huduma kwa wateja kwa haraka.

Lakini kutumia sponge (yako kama godoro) katika utengenezaji inaharatarisha afya ya mtumiaji kwakuwa particle ndogo ndogo zinazoingia kwenye chapati zinaweza kuleta cancer.

Walaji tuwe makini
 
Sponge nnalozungumzia ndo kama hili
Chapati ikipata moto lazima particle ndogo ndogo za hili sponge zindondokee kwenye chapati ..
sponge-cellulose-500x500.jpg
 
Back
Top Bottom