Kutumia booklet nying ni mbwembwe tu,

Afande Fojuman

JF-Expert Member
Sep 27, 2014
650
534
unamtongoza demu kwa meseji150 na humpati halafu linatokea zee moja na meseji yake moja tu ya tigo pesa linampata
Ndo utakapokumbuka kujaza booklet kwenye mtihani sio kupata A

we math utumie booklet moja kisha upate A kwani wanataka majibu tu ?

Kama wanataka na njia tumia booklet nyingi kadri uwezavyo

mwanamke wa kuoa hutakiwi kutumia hela kumnasa
 
Hivi na nyie wengine mnao ndugu wasio na shukrani?

Ndugu ambao hukukumbuka wakati wa shida zao tu?

Huwa mnakabiliana nao vipi watu wa aina hiyo?

Mimi wananikera sana kwa kweli.

Mtu anakuja na kukulilia shida zake lukuki, nawe kwa moyo mweupe kabisa unamsaidia.

Tena unamsaidia kwa kwenda mbali zaidi ya kile alichokiomba.

Cha ajabu [ingawa si ajabu kivile] ukishamsaidia tu, mwenzio anapotea.

Anapotea bila hata kutoa 'ahsante' ya msaada uliomsaidia.

Na akishapotea ndo imetoka hiyo. Kuja kusikia tena toka kwake labda ni awe na shida au kwenye msiba.

Hata salamu tu ya kujuliana hali toka kwake inakuwa tunu.

Naamini katika kutenda wema na kwenda zangu lakini pia sipendi mambo ya kufanyanya wapumb.avu.

Yaani kuniona nakufaa tu wakati wa shida zako. Ukiwa huna shida hata simu zangu hupokei.

Hovyo kabisa hao.....
Aiseeee

Back
Top Bottom