tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,055
- 16,509
we ndio msemaj wake!?
nimeona umeenda off topic ikabidi nikustue..au lengo lako ulitaka tujue uko tpdc mkuu?hongera lakini.
we ndio msemaj wake!?
Planett hamna namna ! Umeamua tu kututangazia uko tpdc basi! Hujamuelewa siz! Afu nae sizi anajichanganya! Ametumia njia zote afu anaomba ushauri...sure siz hujiamini mkuu!we ndio msemaj wake!?
Planett hamna namna ! Umeamua tu kututangazia uko tpdc basi! Hujamuelewa siz! Afu nae sizi anajichanganya! Ametumia njia zote afu anaomba ushauri...sure siz hujiamini mkuu!
komaaa, hiyo itakuwa ni ya contract, permanent zinatangazwa na utumishi..Kitaa kugumu mdau ndo maana hata imani hakuna kwa unachofanya nilimuuliza mmoja wa staff wa pale ndani baada ya kukuta tangzo kwenye noticeboard yao vipi kuhusu hizi nafasi akanijib "we leta tu maombi hapa wenzako wanaleta hapa" na nikaona wadau wanakuja na application zao pale na kwasababu pesa ya kucertify vyeti ilikuwepo ckuona shida kutengeneza application nyingine na ku submit fasta nilikuta bahasha za kutosha
Tang'ana hzo za kura mbona mi sijazipata mkuu?
komaaa, hiyo itakuwa ni ya contract, permanent zinatangazwa na utumishi..
Kwa mwenye uzoef office attendant analipwa sh ngap wadau kwa TANROAD
TR 1.1,sawa na sh laki saba na nusu taslimu kabla ya makato.
kupata haki ...mara nyingi inategemea nautaratibu wa ofisi....nadhani aya mashirika kama tanroad, tanesco utaratibu wao ni mbovuu sana ....mi nayaona kama chenga tuu
Sent using Jamii Forums mobile app