Kutotumia miguu yako vizuri kutakufanya uzeeke mapema na Haraka

Robert Heriel Mtibeli

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2018
Posts
34,059
Reaction score
79,405
KUTOTUMIA MIGUU YAKO VIZURI KUTAKUFANYA UZEEKE MAPEMA NA HARAKA.

Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.

1. Forever young kama ndio unataka kuonekana na kuwa hivyo basi hii mada inakuhusu Sana. Yaani unataka uonekane Siku zote kijana shupavu usiyezeeka.

2. Wakati wengine wa rika lako wakizeeka na kuonekana Wababa au wazee lakini wewe bado unatakiwa uonekane kama Gen z yaani kijana wa elfu 2.

3. Uwe kama Mimi Mtibeli, TaikonMaster ambapo madogo wengi wa elfu mbili na tisini wanafikiri Mimi tunalingana, yaani rika lao.

4. Zipo njia nyingi za kukufanya usizeeke.
Kama ulaji mzuri wa chakula, kulala kwa wakati, kunywa maji kwa usahihi, kuwa na mahusiano yenye tija yatakayokufanya uwe na Amani na furaha.

5. Siri ambayo watu wengi hawaijui ipo kwenye matumizi ya Miguu yako.

6. Matumizi ya miguu yako ni Moja ya mambo Makuu yatakayoamua uzeeke haraka au uchelewe kuzeeka.

7. Miguu ndio sehemu ya mwili ambayo hubeba misuli na mifupa mingi. Misuli na mifupa mingi iliyopo miguuni kama hutaifanyisha kazi ikawa legelege hupekelea matatizo na uzee wa mapema.

8. Miguu ndio sehemu ya mwili ambayo hubeba sehemu zingine za mwili. Ni sehemu ambayo inatakiwa iwe active kwa sehemu kubwa.

9. Bahati mbaya, miguu hiyohiyo licha ya kuwa ni sehemu yenye misuli na mifupa mingi lakini ndio sehemu ambayo ipo mbali na Moyo. Hivyo mfumo wa damu ili ufanye kazi kwa ufanisi miguuni inatakiwa ufanye mazoezi na miguu yako iwe active.

10. Kumbuka Damu ndio hubeba virutubisho pamoja na oxygen kama damu haifiki vizuri miguuni hupelekea miguu kuwa dhaifu.

11. Kupata vichomi au ganzi miguuni, viungio na magoti kuuma ni dalili za mwanzoni za uzee.

12. Ili usizeeke, lazima uhakikishe miguu yako iko active.
Fanya mazoezi hasa ya kutembea angalau kwa nusu saa.

13. Tembea haraka kwa dakika tatu, kisha tembea kawaida dakika moja. Tembea haraka dakika tatu. Hivyohivyo kwa kujirudia.

14. Kimbia lakini sio Sana. Kimbia Ile ya taratibu. Angalau dakika 10.

15. Ruka kamba na rukaruka.
16. Epuka kukaa muda mrefu sehemu moja. Kama kazi zako ni ofisini za kukaa. Ni muhimu Kila baada ha lisaa limoja. Amka tembeatembea walau dakika kumi.
17. Au jioni nenda kufanya mazoezi.

18. Sio lazima uendw Gym. Kukimbia kwenye nature ndio mazoezi yenye tija zaidi kimwili na kisaikolojia. Kuliko ukiwa under the Cage(gym) ambapo macho yako yapo limited.

19. Athari zingine za mapema za miguu kuizembea utaiona kwenye Sex(tendo la ndoa)

20. Kama Damu haiendi vizuri upande wa chini wa mwili yaani miguuni ikiwemo kwenye nyonga na uume husababisha mwanaume awe goigoi kwenye tendo la ndoa.

21. Uume unakuwa hausimami vizuri, uko legelege. Hausimami kwa muda mrefu. Ukisimama kidogo unakuwa kama utambi. Au wakati unafanya ngono unalegea hata kabla hujapizi.

22. Ukifanya zoezi la miguu, miguu ikiwa na energy utaona tofauti. Uume unakuwa na nguvu. Unasimama na kukaza mpaka mishipa, mpaka unaangalia juu ya kitovu. Ukiona Hali hiyo jua miguu yako iko na energy na damu ina flow vizuri sio tuu kwenye miguu bali hata kwenye nyonga na uume.

23. Ili usizeeke mapema lazima mifumo ifuatayo uilinde na kuhakikisha inafanya kazi vizuri;
a) Mfumo wa Damu
b) Mfumo wa Ufahamu
c) Mfumo wa Upumuaji
d) mfumo wa Chakula.

24. Wazee wangu waliwahi niambia, chakula na life style yako ya mwaka huu utaiona miaka kumi ijayo.

25. Kingine, Ngozi yako na mwili wako ni kioo cha mambo unayoyafanya sirini ukiwa pekeako.

26. Kama ngozi imesinyaa au unaonekana Mzee Sisi watalaam WA mambo tutajua kuwa hulali kwa wakati, au unakunywa pombe au unavuta sigara, au lishe yako ni vyakula vya kusindika n.k.

Sina la ziada.

TaikonMaster
Kwa sasa Dar es salaam
 
downloadfile-1.png
 
I feel safe here
 
Chini ya serikali ya CCM unaweza kutembea km 45 Kwa siku na bado ukafa mapema tu,maana naona wengi tu wanakufa wakiwa strong na wanafanya mazoezi unayoyazungumzia ila stress zimewaua
 
Umeleta mada nzuri sana na Hongera. Hili huwa nalizingatia sana
 
Back
Top Bottom