leo ukimwambia tu nataka nikutoe, tukapate nyama na soda/bia , akikubali tu jua unalo hilo mpaka utamchoka mwenyewe
Tena teknolojia ya WRONG NUMBER ndo usipime.... Mi mwenyewe humu ndani kuna mdada nimempata kwa WRONG NUMBER...Akiwa bize so hawezi kwenda na ww out unachotakiwa kufanya ni kumtumbukizia SALIO tu kwenye simu yake!Hapo utaitwa baby siku hiyo hiyo!
Ahahahaha kweli technolojia imerahisisha sana kazi mwee!
hee me niliruka stage ama? sikuwahi andikia mtu barua
Dah... Nilishawahi kuandika barua ya jinsi hiyo kwenye zile karatasi maalumu za kunukia. Niliandika kwa kila wino kasoro mwekundu. Nilipoiweka barua ndani ya bahasha, nikaipulizia pafyumu niliyoiiba kwa mama na kuifungia harufu kwenye bahasha. Sasa si nikaingia darasani na kumuwekea yule dada ndani ya daftari lake. Sasa kwa bahati mbaya mwalimu si akaniona, wacha nile kisago
Mbona hujaja bwana??
Mwenzio sijatongozwa siku nyingi bwana, hebu njoo uonyeshe individual skills
Mbona hujaja bwana??
Mwenzio sijatongozwa siku nyingi bwana, hebu njoo uonyeshe individual skills
ilikuwa zamani ndio kipaji siku hata dk kumi nyingi mtu ameshaingia kingi
ilikuwa zamani ndio kipaji siku hata dk kumi nyingi mtu ameshaingia kingi
Dah... Nilishawahi kuandika barua ya jinsi hiyo kwenye zile karatasi maalumu za kunukia. Niliandika kwa kila wino kasoro mwekundu. Nilipoiweka barua ndani ya bahasha, nikaipulizia pafyumu niliyoiiba kwa mama na kuifungia harufu kwenye bahasha. Sasa si nikaingia darasani na kumuwekea yule dada ndani ya daftari lake. Sasa kwa bahati mbaya mwalimu si akaniona, wacha nile kisago
Aisee nakumbuka miaka hiyo home tulikuwa tunaishi vijana umri mmoja kama 5 hivi,basi mwandishi wa barua za mademu wote nilikuwa mimi,nilikuwa najua kuyapanga mashairi usiseme,yaani walikiwa wananiaminia pale home wote,
Nilikua na kidemu cha kibulush jirani na home basi sana kilikuwa kinaniletea barua kama hizo,posta alikuwa mdogo wake,waswahili wakaja wakaniwangia nikapewa talaka mzee hiyo barua ya kutemwa ilikuwa page kama 3 mwanzo mwisho,kweli mapenzi yalikuwa zamani bwana